Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Kwa kweli inaumiza sana. Tukiangalia Gaza na Palestine. Kumevurugwa hasa...siyo kipole pole. Amevuruga Hamas na amewatandika Hizbullah kiasi cha kutia aibu. Inaniuma sina raha. Nliposikia ana umwa nikamshukuru Mnyaazi. Jamaa likaondoka Hosp kabla halijapona ili likaendeleze kichapo.
Yule si binadamu wa kawaida. Kweli nimeamini sura si roho. Ukimwona ana sura ya kiupole na hb kabisa. Ila akisema amesema hana masikhara. Leo hii Iran ya kuufyata? Siamini. Iran hii hii ambayo ilitangaza operation promise na sijui nini? Netanyau kaenda kuichapa mle mle ndani mwao kupiga maeneo yenye silaha. Tena kwa dharau ametumia mademu. Yaani mademu wanaenda Iran wanapiga kisha wanaondoka kurudi kwao kupika?
Netanyau si binadamu kweli nawaambia. Assad kakimbia nchi. Assad huyu alikuwa anasaidiwa na Russia. Kakimbia Syria. Ameenda ishi uhamishoni. Houthis wamevurugwa wamechonganishwa wanazichapa na Yemen. Yaani mimi nachoka kabisa. Sielewi nimekuwa oves kabisa. Netanyau tutamwombea afe aiseee....jamaa ni mbabe sana. Waisrael wote hawamtaki kabisa.
Duniani ameambiwa asikanyage atafungwa na hiili alilitangaza Ritz akaelezea vizuri kabisa. Netanyau hatakiwi kukanyaga duniani. Atafungwa, atanyongwa. Watu wake wameuliwa na kutekwa kidogo yeye amezidisha mara 1,000 kuwalipizia kisasi. Huyu jamaa Mnyaazi atamuondoa. Najiuliza tu lini? Maana amejua kutufunga mdomo.
Kwa sasa hatuna hamu kabisa. Yaani tumelegea kama mlenda... Amepapasa maadui wote wa mayahood ule ukanda ...amewatomasa amewalowanisha...wamelendemuka....hoi bin taabani. Wenzangu akina Adiosamigo Webabu Sir John Roberts Malaria 2 wamezila kabisa. Wamekata tamaa. Maana tulitegemea this is the time kuwafuta israel... Aaaah wapi. Wametufuta futa sisi.... Na bado wana randa randa na kubambia bambia watu wengine. Walitudanganya mashoga kumbe...wanachapa mti balaah. Hata wanawake wao tu ni balaa. Imagine ndo walitumwa wakamtandike mu Iran ndani mwake. Yaaani nime changanyikiwa. Nawaza sana.