Bado una ndoto za kuzamia Ulaya?

Bado una ndoto za kuzamia Ulaya?

Kalunya

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
13,322
Reaction score
18,609
Wale wanaofkiri kuwa Ulaya maisha ni mazuri wala huwezi kuteseka namna ambavyo tunateseka Afrika Acha niwajuze tuu hapo unapoona pichani ni nchini Ufaransa jijini Paris hebu tazama maisha ambayo wanayoishi 😬😬😬

Kubwa zaidi ni pale mwamba hupigiwa simu na ukoo wote ili atoe msaada kwa sababu tu yupo Ulaya 🥺🥺

#Tujuze

FB_IMG_1657809092477.jpg
FB_IMG_1657809101335.jpg
FB_IMG_1657809104577.jpg
 
Unakaa miaka 10 Ulaya cha maana huna zaidi ya kupiga picha kwenye majengo na magari ya watu. Wengine wamekosa hata nauli ya kurudi bongo. Unarudi bongo huna cha kuringia zaidi ya lugha. Wakati uliowaacha bongo unakuta ana majumba na maisha yake safi.
 
Unakaa miaka 10 Ulaya cha maana huna zaidi ya kupiga picha kwenye majengo na magari ya watu. Wengine wamekosa hata nauli ya kurudi bongo. Unarudi bongo huna cha kuringia zaidi ya lugha. Wakati uliowaacha bongo unakuta ana majumba na maisha yake safi.
Sure
 
Wale wanaofkiri kua Ulaya maisha ni mazuri wala huwezi kuteseka namna ambavyo tunateseka Afrika Acha niwajuze tuu hapo unapoona pichani ni nchini Ufaransa jijini Paris hebu tazama maisha ambayo wanayoishi 😬😬😬

Kubwa zaidi ni pale mwamba hupigiwa sim Na ukoo wote ili atoe msaada kwa sababu tuuu yupo Ulaya 🥺🥺

#Tujuze
Ndoto zipo!
Nasaka hela Bong ili nikatalii Louvre Museum, nikaone Eiffel tower, na kufanya utalii wa kutosha na familia 😎
 
Maisha ya maskini wa Paris sio sawa na maskini wa Tanzania.

Maskini wa Ulaya anaweza tumia Usd 20 ama zaidi (elfu 46 za kibongo) kwa siku wakati kwa Bongo huo ni mshahara wa meneja wa Tanesco kwa siku 1😂😂😂
 
Kila nchi ina masikini na kila nchi ina matajiri. Muhimu ni mzani unaelemea wapi? Sisi kwetu umaskini 98% na only 2% ndo matajiri.
Hahaaaaa anajifariji huyu mjinga[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ni Nani asiyejua ukali WA maisha ya shithole countries za kiAfrica hizi ? , watu wanafia kazini hata kustaafu hawataki , wanafoji miaka na wanaogopa kukutana na msoto mkali kitaa ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ulaya, US, Australia, Canada, au New Zealand kama huna makaratasi utakuwa maskini wa kutupa.

Hakuna nchi iliyopo Ulaya ambayo kiwango chake cha umaskini kinaifikia nchi za Afrika except South Africa

Just imagine Ukraine ikiletwa Afrika ndio itakuwa nchi tajiri kuliko nchi yoyote.

Narudia tena Ulaya bila kuwa na vibali na documents you will end up in vain like zombie.
 
Back
Top Bottom