Bora nikalime muhogo msanga kuliko kwenda kuwa machinga Ulaya.
SureUnakaa miaka 10 Ulaya cha maana huna zaidi ya kupiga picha kwenye majengo na magari ya watu. Wengine wamekosa hata nauli ya kurudi bongo. Unarudi bongo huna cha kuringia zaidi ya lugha. Wakati uliowaacha bongo unakuta ana majumba na maisha yake safi.
Ndoto zipo!Wale wanaofkiri kua Ulaya maisha ni mazuri wala huwezi kuteseka namna ambavyo tunateseka Afrika Acha niwajuze tuu hapo unapoona pichani ni nchini Ufaransa jijini Paris hebu tazama maisha ambayo wanayoishi π¬π¬π¬
Kubwa zaidi ni pale mwamba hupigiwa sim Na ukoo wote ili atoe msaada kwa sababu tuuu yupo Ulaya π₯Ίπ₯Ί
#Tujuze
Na wewe ulikuwa na mpangoDaa,at least umenifunza kitu
Hahaaaaa anajifariji huyu mjinga[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ni Nani asiyejua ukali WA maisha ya shithole countries za kiAfrica hizi ? , watu wanafia kazini hata kustaafu hawataki , wanafoji miaka na wanaogopa kukutana na msoto mkali kitaa ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kila nchi ina masikini na kila nchi ina matajiri. Muhimu ni mzani unaelemea wapi? Sisi kwetu umaskini 98% na only 2% ndo matajiri.
Bebe, ulikuwa unataka kuzamia Ulaya niniDaa,at least umenifunza kitu