Bado una shaka kujua ligi gani bora Ulaya?

......Kila kitu kiko Wazi,now England wako Fire Sana.
Period

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninyi watu mnashangaza sana, yani tim za freemason zikivuka hatua ya makundi mnaanza kelele zenu. Zikitolewa mnaanza kujiteyea na kusema ooh ligi ya spain wanabebwa. Lakini tushawazoea endeleeni tu na kelele zenu kamandaπŸ˜€πŸ˜€
 
Tukiamua kutumia msimu huu kama reference ...England ni bora
1. Upinzani kuwania ubingwa wa ligi ya ndani. Upinzani ni mkali uingereza na ujerumani
2. Tukiangalia Uefa ...hatua ya robo fainali taifa moja limeingiza idadi kubwa zaidi ya timu sawa na idadi ya nchi zote zilizobaki katika bara hill
3. Form za Vikosi. Barca pekee kwa Hispania ndio inaonekana bora kwenye vikombe vyote inavyoshiriki...uingereza Man city na liver wako kwenye kiwango bora plus Man united ambayo baada ya kumfukuza Mo wamekuwa bora Tot wanafanya vema licha ya kuteleza mechi za ligi ya ndani hivi karibun.
Nadhan this year England kumenoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu uliyopita Engand iliingiza timu tano kwenye hatua ya 16 bora lakini zikapukutika hadi kubakia timu mbili tu. Usije shangaa na msimu huu zikapukutika timu zote za England kwenye hatua hii ya robo fainali au labda itokee wakapangwa wenyewe kwa wenyewe kwenye mechi kadhaa ndipo inaweza kupatikana mwakilishi. Upo Uwezekano wa kutolewa timu zote kama wote watapangiwa na opponent toka nchi tofauti, na pia upo uwezekano wa kupita zote pia. Tuweke akiba ya maneno tusubiri muda uamue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…