kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka mmoja huu basi kelele kama vyura. Unaweza shangaa matimu yote manne yakatolewa next round.
zimeingia timu zote nne robo fainali..... hapo tu inatosha kuwapa heshima engand..... na kama wasipokutanisha timu za uingereza robo fainali usishangae wote wakakutana nusu fainali.Mwaka mmoja huu basi kelele kama vyura. Unaweza shangaa matimu yote matatu yakatolewa next round.
Hii imeshatokea mara ngapi kwa team za Hispania na bado wamejikalia zao kimya??zimeingia timu zote nne robo fainali..... hapo tu inatosha kuwapa heshima engand..... na kama wasipokutanisha timu za uingereza robo fainali usishangae wote wakakutana nusu fainali.
Miaka mingi, ukiwemo mwaka huu...Ni miaka mingapi sasa kombe la UCL halijatua England?
Wako fire lakini hakuna atakauechukua hii ndoo mwaka huu... Mark my words
Kwa vichekesho vingine kama hiki bonyeza *713#Kombe La Juventus Hilo
Yoyote akutanaye na Barca hapo ni lazima arudi EPL mazima.zimeingia timu zote nne robo fainali..... hapo tu inatosha kuwapa heshima engand..... na kama wasipokutanisha timu za uingereza robo fainali usishangae wote wakakutana nusu fainali.
Kombe La Juventus Hilo
Mkuu badili hapo kwenye mmaliziaji uweke mviziaji.😀😀Kwakuwa mmaliziaji/master of penalties yuko pale eti 😁😁😁 mtasubiri sana,
Umetumia vigezo gani kufikia hiyo conclusion? au unatabiri tu kama Shehe Yahya au Pweza wa Ujerumani?Kombe La Juventus Hilo
sijawahi kuona hispania wanapitisha timu nne kwa misimu zaidi ya 10......Hii imeshatokea mara ngapi kwa team za Hispania na bado wamejikalia zao kimya??