Bado wachina wanamtaka na kumjenga Mwigulu awe Rais 2025?

Bado wachina wanamtaka na kumjenga Mwigulu awe Rais 2025?

Watu mnajua kujilisha upepo sana, kujitekesha kisha kucheka wenyewe, 2025 inatolewa fomu moja tu ya mama kama utamaduni wa CCM ulivyo siku zote!! Hao akina Mwigulu, January n.k. kama wanaCCM waliopikwa na kuiva wanalijua hilo na kuliheshimu! Watu wanajipanga na 2030, kushindana na Incumbent president ndani ya CCM ni sawa na kujizika kisiasa na hutoonekana tena, Ref Shibuda, Membe
 
Vita vya uraisi tayari vimeanza sio
 
Kwa jinsi ambavyo CCM ya sasa ilivyo, kiongozi yeyote yule mwenye uthubutu wa kutenda matendo ya kihayawani na uovu dhidi ya upinzani ndiye anaonekana anafaa. Kwa kuwa wamepata "role model" kupitia kwa JPM.

Mtu sahihi kwao kuwa kiongozi ni yule mwenye uwezo wa hali ya juu kuwatesa, kuwaumiza, kuwadhulumu, kuwasingizia, kuwanyanyasa, kuwaumiza, kuwasingizia uongo na hata kuwauwa wapinzani. Ukichunguza kwa undani vigezo karibu hivyo vyote Mh. Mwigulu anakaribia kuwa navyo.

Kwa kuwa uwepo wa upinzani wa dhati hapa nchini ni tishio kubwa kwa wao kuendelea kushikilia dola, basi njia za kidhalimu na kifedhuli ndiyo mtaji wao pekee uliobakia ili waendelee kubakia madarakani. Tuendelee kusubiri kwa kuwa "history is more than the path left by the past, 'cause it influences the present and paints the future'
 
Singida united, bashiru hawa ni wajamaa msije mkafanya kosa watz kuwapa udereva mtajuta.
Hawa ni pure blood dictators.
Wanatamaa Sana wataleta machafuko nchini.
 
Watu mnajua kujilisha upepo sana, kujitekesha kisha kucheka wenyewe, 2025 inatolewa fomu moja tu ya mama kama utamaduni wa CCM ulivyo siku zote!! Hao akina Mwigulu, January n.k. kama wanaCCM waliopikwa na kuiva wanalijua hilo na kuliheshimu! Watu wanajipanga na 2030, kushindana na Incumbent president ndani ya CCM ni sawa na kujizika kisiasa na hutoonekana tena, Ref Shibuda, Membe
Ipo siku historia itaandikwa upya. NI swala la muda tu. Unazani Uhuru iliandika kwa bahati mbaya kuwa Samia hagombei Tena 2025? Hilo ndio takwa la CCM itikadi Kali.
 
Hii ni kumuwangia mwenzako. Na ikitokea akawa Rais?
Utahama nchi?

Hata Magu mlimsema hivyohivyo....ila baadae ni historia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kujadili malengo yake. Yeye pia NI mtanzania na anahaki ya kikatiba kuwa Raisi. Swali langu NI je alipata wapi uwezo na pesa anazofanyia harakati zake, Kama Kuna mtu kampa NI kwa ahadi ipi? Na atarudisha fadhila gani?
 
Tozo zimemrudisha nyuma tambo kumi huyu mcha Mungu mwenzangu. Hajui kama anajihujumu au kahujumiwa. Zimemfanya amekuwa unpopular huku mtaani.
 
Ipo siku historia itaandikwa upya. NI swala la muda tu. Unazani Uhuru iliandika kwa bahati mbaya kuwa Samia hagombei Tena 2025? Hilo ndio takwa la CCM itikadi Kali.
Mkuu Mkiti wa CCM na Rais ana mamlaka makubwa sana, hakuna mtu wa kumletea fyoko ndani ya chama na nje ya chama, labda katiba ya nchi na chama vibadilike kwanza, kwa sasa ni kujilisha upepo!! Hao Uhuru ni takataka tu mbele ya mamlaka ya Rais na Mkiti
 
Sijui kwann watu wwnamuohifia huyu jamaa mbona mtu wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom