Bado wachina wanamtaka na kumjenga Mwigulu awe Rais 2025?

Bado wachina wanamtaka na kumjenga Mwigulu awe Rais 2025?

Wewe hata hujui unajenga hoja gani poor you
Hujui kuwa madelu amewahi kuwa kiongozi wa ccm kitaifa? Shallow man
Alishawahi kuzunguka na chopa kupiga Kampeni na kunadi CCM bila CCM kuhusika na gharama za mizunguko yake Hadi kinana alimzuia.
Je unajua gharama za mruko moja wa chopa?
 
Back
Top Bottom