Bado Yanga haijapewa heshima yake Tanzania

Bado Yanga haijapewa heshima yake Tanzania

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Leo nimeamini mpira sio kelele kama wanazopiga mashabiki wa Simba humu nimeamini mpira ni Sayansi na sio propaganda za kina Gentamycine na wenzake mashabiki wa Simba wasiofahamu sayansi ya mpira.

Pasipo na shaka hawa jamaa wa Simba mpaka kipindi cha kwanza kinakwisha walikua under Oxygen therapy zile kelele zao zote chali na mambo yangeenda vizuri na Power Dynamo kusonga mbele kuna watu humu wangejificha kabisa hilo ni kama somo wanapewa mpira sio kelele za Jamii forum mara oo atakula 5 mara oo atakula 6 nyie endeleeni na kelele zenu huku timu nyingi kwa sasa barani Afrika zikifanya mapinduzi ya kimpira.

Lengo husika ni ukweli usiopingika YANGA wamelifanyia makubwa sana soka la Afrika na Tanzania kwa ujumla kucheza Fainali ya kombe la shirikisho sio mchezo kombe ambalo Simba waliishia kuloga pale South Afrika kidogo wachome uwanja wa watu

Ukiangalia mpaka Yanga inafika fainali imecheza na timu karibia kanda zote za Afrika na bado ikapata matokeo, kusini, magharibi, kaskazini hata mashariki japo binafsi nlikua najua hakuna timu ndogo kwa mpira wa sasa ila leo nimedhibitisha baada ya Simba kuponea kwenye tundu la sindano.

Shida ya Simba wamebaki na historia ya kuingia makundi na kuishia robo wakiwa hawana jipya zaidi ya hapo huku timu nyingi zikiendelea kuwekeza kwenye mpira simba wao wanatambia makundi na robo.

Yanga wameamua kuacha uswahili kwenye mpira na kuwa serious ni ajabu sana leo mchezaji anapata injury kiongozi mzima unatoka hadharani unasema kuna mpango wa kuumiza wachezaji wa timu yangu ni uswahili uliokomaa kabisa.

October ni hii wana gemu na Al ahly yangu na wewe ni macho tusubiri.

Kama kiongozi wa Simba analalamika sijui viongozi wa Man utd watasemaje Beki zote 3 majeraha si ndio mngesema uchawi kabisa.

Aggregate 3-3
 
Heshima gani,Namungo alifika makundi na alikuwa timu ndogo Tanzania,mmekutana na timu mbovu zote mkafika fainali.

Kwa Club bingwa ndo tutawapa heshima
 
Heshima gani,Namungo alifika makundi na alikuwa timu ndogo Tanzania,mmekutana na timu mbovu zote mkafika fainali.

Kwa Club bingwa ndo tutawapa heshima
Kula chuma hiko
IMG_20230915_223905.jpg
IMG_20230917_153732.jpg
 
Heshima gani,Namungo alifika makundi na alikuwa timu ndogo Tanzania,mmekutana na timu mbovu zote mkafika fainali.

Kwa Club bingwa ndo tutawapa heshima

umeshiba lakini... mimi nazungumzia fainali wewe unaleta hoja za makundi kwanini usitoe mfano kwa timu yako Simba au mnabaki na rekodi zenu za makundi
 
H
Hesabu za kwenye soka siyo kama za shuleni, kwamba: Kama A= B, B= C basi A = C.

Haina ukweli wowote kuwa eti kwavile Uto alimpiga USM Algiers, kisha USM Alger akaja kumpiga Al Ahly, basi Uto automatically ataweza kumpiga Ahly. Hesabu za Wagagagigikoko hiz!

Ni sawa na mtu tu aseme;kwavile Saudi Arabia iliipiga Argentina ya Lionel Messi kwenye World Cup, kisha huyo Argentina akaja kubeba WC, basi aliyestahili kubeba ni Saudia maana anaonekana ana uwezo kuliko Argentina.
 
Utopolo wenye akili ni wawili tu,haya mengine ni maboya tu,ndio maana yaliambiwa yavae vichupi yakatoka na dada zao yamevaa kweli
 
H

Hesabu za kwenye soka siyo kama za shuleni, kwamba: Kama A= B, B= C basi A = C.

Haina ukweli wowote kuwa eti kwavile Uto alimpiga USM Algiers, kisha USM Alger akaja kumpiga Al Ahly, basi Uto automatically ataweza kumpiga Ahly. Hesabu za Wagagagigikoko hiz!

Ni sawa na mtu tu aseme;kwavile Saudi Arabia iliipiga Argentina ya Lionel Messi kwenye World Cup, kisha huyo Argentina akaja kubeba WC, basi aliyestahili kubeba ni Saudia maana anaonekana ana uwezo kuliko Argentina.
Mkuu sijapiga hizo hesabu bali huyo jamaa kazidharau timu zilizocheza shirikisho kuwa ni vibonde. Sasa hapo nilikuwa naonesha ukibonde wa hizo timu zipoje wala sikusema kuwa Yanga angemfunga Al Ahly bali Al Ahly kapata ya radha ya bingwa wa kombe la vibonde kama ana ukibonde ama ni mgumu. Una lingine?
 
Kutana na ahly wewe kama wewe umfunge sio kuchukua picha ya mwanaume kapambana huko unaanza kutamba nayo kuku wahed😆
 
Kutana na ahly wewe kama wewe umfunge sio kuchukua picha ya mwanaume kapambana huko unaanza kutamba nayo kuku wahed[emoji38]

Rage achongewe sanamu lake unajua yanga alitolewa kwa Mbinde pale cairo uwanja ukiwa umefurika Al ahly alifungwa pale kwao tafuta goli la donald dompo ngoma sema unaweza kuwa umeanza fwatilia mpira enzi za Ihefu.
 
We mwehu ungekujua mimi rika la babu yako mzee mpili, na mpira nimeanza ufuatilia toka enzi hizoo ungefunga bakuli lako
 
We mwehu ungekujua mimi rika la babu yako mzee mpili, na mpira nimeanza ufuatilia toka enzi hizoo ungefunga bakuli lako

hakuna babu ambaye hana busara na uzuri hujaitwa kukoment hapa unaweza kusoma na kupita tu enzi hizo unazifhamu wewe.

pambaneni na Robetinyo wenu huko
 
We mwehu ungekujua mimi rika la babu yako mzee mpili, na mpira nimeanza ufuatilia toka enzi hizoo ungefunga bakuli lako

Mara mwehu mara kuku wahed nimekustay kwa leo next time tumia maneno ya busara kama huwezi pita kule.

kama wewe ni babu au wajuu wako wana shida ndio wale wanatukana na kuwatupia maneno machafu watu wazima kama wewe ndio babu yao hakuna wanalojifunza
 
Back
Top Bottom