bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Leo nimeamini mpira sio kelele kama wanazopiga mashabiki wa Simba humu nimeamini mpira ni Sayansi na sio propaganda za kina Gentamycine na wenzake mashabiki wa Simba wasiofahamu sayansi ya mpira.
Pasipo na shaka hawa jamaa wa Simba mpaka kipindi cha kwanza kinakwisha walikua under Oxygen therapy zile kelele zao zote chali na mambo yangeenda vizuri na Power Dynamo kusonga mbele kuna watu humu wangejificha kabisa hilo ni kama somo wanapewa mpira sio kelele za Jamii forum mara oo atakula 5 mara oo atakula 6 nyie endeleeni na kelele zenu huku timu nyingi kwa sasa barani Afrika zikifanya mapinduzi ya kimpira.
Lengo husika ni ukweli usiopingika YANGA wamelifanyia makubwa sana soka la Afrika na Tanzania kwa ujumla kucheza Fainali ya kombe la shirikisho sio mchezo kombe ambalo Simba waliishia kuloga pale South Afrika kidogo wachome uwanja wa watu
Ukiangalia mpaka Yanga inafika fainali imecheza na timu karibia kanda zote za Afrika na bado ikapata matokeo, kusini, magharibi, kaskazini hata mashariki japo binafsi nlikua najua hakuna timu ndogo kwa mpira wa sasa ila leo nimedhibitisha baada ya Simba kuponea kwenye tundu la sindano.
Shida ya Simba wamebaki na historia ya kuingia makundi na kuishia robo wakiwa hawana jipya zaidi ya hapo huku timu nyingi zikiendelea kuwekeza kwenye mpira simba wao wanatambia makundi na robo.
Yanga wameamua kuacha uswahili kwenye mpira na kuwa serious ni ajabu sana leo mchezaji anapata injury kiongozi mzima unatoka hadharani unasema kuna mpango wa kuumiza wachezaji wa timu yangu ni uswahili uliokomaa kabisa.
October ni hii wana gemu na Al ahly yangu na wewe ni macho tusubiri.
Kama kiongozi wa Simba analalamika sijui viongozi wa Man utd watasemaje Beki zote 3 majeraha si ndio mngesema uchawi kabisa.
Aggregate 3-3