Badoo inanivunjia uchumba wangu

Badoo inanivunjia uchumba wangu

Nani Kanitag humu maana huu uzi ndio leo nauona duh!
 
Kaka umenikumbusha maumivu makali sana yaani hawa viumbe ni mashetani tu jambo la msingi muite mueleze ukweli wote na siku hiyo hiyo mwambie ndio mwisho wenu kwa sababu hata ukimsamehe daima utakumbuka ubaya wake tu na utamchukia sana katika maisha yako yote au utalipa kisasi
 
Daah mkataa pema pabaya panamwita pole Sana, ila jifunze kitu mana mapenz ya cku hiz mtu anakusifia kwa msg anajidai anakupenda na mbwembwe kibao kumbe anazuga, kwa upande wangu huyo kutuma picha Za uchi nikujizalilisha nikusih usizitupe hizo picha mtandaoni unaweza Kuja kukost maisha ya huyo bint akajiua, jaribu mchukua yy na rafiki yako mmoja, mukalishe melezeeni hali halis afu umsikie anasemaje afu ww uamue utachukua mamuz gan, ukichukua jukumu lakutupa picha Za uchi mtandaoni akija jiua,

Bas utasakwa na maisha yako yatakua hatiani, pole ila huyo ni Kat ya wanawake wasiojitambua mana haiwezekan mwanaume umepangwa future nae kuzalilisha kisa unataka penz jingine na mwanamke anayejiheshim hawez kuingia ktk mitandao ya hivyo na bint ambaye anataka had kutoa tigo kweli mmmh mabint kwa kweli wameishiwa ubungo na huyo huo mchezo wa tigo akianza haachi na huyu alikua mbwa mwitu ila akipretend tu kwa kua pengine anaitaji ndoa, pole Sana wachumba msiishie kuitana bby na nn, jaribu kuchunguza kua hayo mapenz yenu ya kweli au mtu anapretend apate ndoa, pole Sana kaka
 
Wewe pumbavu sana!! Yaani unaweka mtego wa kijinga kwa mtu unayempenda? Huna akili. Mwanamke hulindwa sii kutegwa???? Sikuelewi kama upo nomo auuuu????? [emoji9]
 
Agree mkuu, Asilimia 90 wanawake badoo wanajiuza, Malaya wote wa kujiuza wapo, Ukichat nae kidogo tu lazima uombwe pesa.Mtandao hatari, Jambo lililompata Mkuu ndio linatokea kwa watu wengi..
Ss hao Malaya wanatongozwa na nani,si inamaana na watongozaji nao ni Malaya ...partners in crime[emoji23]
 
Kwanza nikiri hii ni ID yangu ya pili kwaajili ya issue hii tu, nisingependa kutumia yangu halisi kwasababu za kibinafsi zaidi.

Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na soon tulikuwa tunasubiri jambo fulani ili mwezi wa 11 tufunge ndoa, kimsingi tunapendana sana, sijawahi hata siku moja ku-notice jambo lolote baya kati yetu linaloweza kuleta labda ugomvi na kutokuelewana, tupo vizuri na tunafuraha muda wote.

Kama kuna shida basi ni ndogo ndogo za kupishana kauli kibinaadamu. Kiufupi niseme yaani tupo kwenye pick ya juu kabisa ya mapenzi yetu. Wiki mbili nyuma mshikaji wangu mmoja akaniambia mbona kwenye Badoo naona picha za shemu kabadili jina kidogo, unaruhusu vipi anaingia huko? Sikuamini ikabidi ni download na kuanza kumsearch.

Ilinichukua kama siku tatu kuja kumpata kwenye Badoo na ni yeye kweli katumia jina lake lakini kimadoido. Nikahisi labda kuna mtu anatumia picha zake sio yeye, ingawa simu yake ina password kama yangu nikagundua kweli ameinstall Badoo kwenye simu yake, muda wote huo sijamwambia kitu nachunguza tu.

Nilichokifanya account yangu ya Badoo nikatafuta picha za jamaa wa costa rica sijui nikaziweka kama zangu na jina la uongo naishi mikocheni na ukiona hivi unaona mtu mambo safi. Nikaanza kumchokoza mambo basi tukawa tunachat nikaanza kumchomekea nampenda, nimependa picha zake na ninakaa Masaki.

Jamani wanawake ni wabaya kabisa. Akaanza ooh nina mchumba lakini tufanye siri, mara ananiponda kishenzi eti ndugu zake kama wanamlazimisha nimuoe, basi na mimi namchokonoa tu yaani anafunguka hadi aibu mengine siwezi sema hapa, in short anamaanisha I am nothing at all. Nikamuomba namba akanipa, ila yangu nikamwambia sio vizuri yeye kuwa nayo, Akanipiga mzinga wa elfu 50 nikamtumia fasta kwa kibanda ya mpesa ndio nikamchanganya kabisa.

Tukaendelea kuchat nikamuomba anitumie picha, namsifia kila ninacho mwambia natamani nione anajipiga ananitumia, jamani hizo picha unaweza kulia ukajiua, mtupu kama alivyozaliwa, mara apige k picha, mara maziwa yaani hakatai kitu, nikamuomba picha ya bwana wake akanitumia jinsi alivyo mshenzi, nikimsifia mbona handsome anaponda kinoma.

Naitwa majina yote matamu duniani hadi najionea wivu mwenyewe, kila nikiingia nakuta meseji kibao yaani ni i miss u, i cant wait to xxx with u. U have sex body nk nk. Kufikia hapo nikajua mchumba tena sina lakini nikasema ngoja niendelee kumpima, nikamchomekea mambo ya tigo akaruka sijawahi na sipendi, nikaanza kumchombeza nanini heee akaniambia labda atajaribu mara moja tu lakini anasikiaga inauma na nisi pizi ndani maana manii yakiingia eti atakuwa anawashwa na atakuwa anataka kila siku kuliwa tigo khaa!.

Wiki iliopita nikamtumia elfu 20 nikamwambia saa kumi kamili aje Sinza Hotel fulani atanikuta nimechukua chumba kabisa, nitakua namsubiria kaunta ya baa chini, mimi nikaenda nikabana sehemu, akaja hadi kaunta akakaa we simu yangu hana sasa, nikamtumia tu meseji Badoo kwamba baby sorry vikao vimenibana sana sitaweza kuja ndio akaondoka. Jamani niliumia sana sana lakini sasa roho imeisha kubali, hata kama kuchepuka lakini sio kule jamani, mtu hata humjui.

Na je huko Badoo kashatongozwa na kugongwa na wangapi, maana Badoo ni kujiuza tu hakuna friends wala followers kule, wewe unatupia picha unasubiri atakayekolea mnaanza chat. Amenidhalilisha sana sana jamani, sijawahi kumkosea lolote hadi anivue nguo vile mbele ya mtu hata asiyemjua na anavyojua kujipretand sasa, nimuulize ulikuwa wapi yaani majibu anayonipa yananipa picha ndio hunidanganya hivi kila siku.

Hadi sasa sijamwambia na sijui nifanyeje lakini mimi na yeye basi maana sasa ni wiki hata hisia sina tena mzee hashtuki kabisa mpaka ananiuliza kunani? Namjibu naumwa tu. Nataka nimfanyie kitu mbaya, hizo picha za uchi atazisoma mitandaoni na kwa shigongo na itakuwa mwisho wetu. Na sitakaa nimwambie ni mimi nilikuwa nachat naye nitaacha picha ziongee.

Naomba maoni yenu wadau
Pole sana mkuu, Uyo msichana anamiaka mingapi?
Usisambaze picha zake kwa heshima yako na yake cz ukizisambaza ht ndg zako wataona na itakua aibu kwako pia cha msingi mwite mweleze ili ajifunze na ajue thamani yk km mwanamke.
Msamehee wewe endelea na maisha yako ye mwache aendelee na mambo yake. .
Pole sana mkuu.
 
Hakuna alietulia ndg yangu hao viumbe ndivyo walivyo. Maadam Mungu kakufunulia uchafu wake mapema basi huna budi kumpiga chini.
Jipe muda wa kutafakari kwanza usikimbilie kuingia kwenye mahusiano haraka na huu ndo muda muafaka wa wewe kutafakari namna nzuri ya kuboresha maisha yako kuliko kupoteza muda mwingi ukifikiria namna mlivyospend moments or even cash payout kwajili ya huyo binti.
Umiza kichwa kutafuta pesa mkuu mapenzi waachie njiwa!
Mkuu tupo tuliotulia na tunaojua thamani yetu. Huna mama huna madada huna mashangazi nao hawajatulia? Sema baadhi na ufute hiyo kauli yako.
 
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....

mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.
Tupo uyo dada katuaibisha sana.
 
kweli kabisaa mkuu alichokuwa anakitaka kakipata.

ila wanawake wa sasa hivi ni wachache sana wenye sifa za kuwa wapenzi lakini hakuna kabisa wenye sifa za kuwa wake.
Wapo baadhi waliolelewa na wanajua thamani ya kua mke na maana yake si kweli kwamba hakuna wenye sifa za kuwa mke.
 
Mbona baadhi ya wanawake sasa ndio tabia yao, tena wake za watu na rings kabisa. Bora huyo wako ni just mchumba, it happened to me back then, mke wa mtu kabisa anatuma utupu wake live bila chenga, hawa watu waone hivi, baadhi ni disgrace kabisa!
Ni kweli mkuu yapo sana haya mambo.
Tatizo watu wanaolewa tu iliwavae shela
Usiombe uoe uolewe na mtu ambaye huna hisia nae kimapenzi lbd umeolewa kwakua ana mali.. Unaweza jikuta umejiunga uko badoo [emoji1] [emoji1] [emoji1] maana unakua hauna furahaa
 
Katika haya maisha ukiona umechoka kuishi au unataka stress

wewe anza hizo tabia za ajabu ajabu za kumchunguza mwanamke

hata awe mke wako,

Wewe ukikuta imeoshwa weka mate kula vitu!!
 
Katika haya maisha ukiona umechoka kuishi au unataka stress

wewe anza hizo tabia za ajabu ajabu za kumchunguza mwanamke

hata awe mke wako,

Wewe ukikuta imeoshwa weka mate kula vitu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah kaka pole sana, inauma sana kujua umepata mtu ambaye mnaweza fika mbali ila unakuja gundua mwenzako anakupotezea muda.

Muache, Ondoka zako. Hizo photos zake usizisambaze, kaendelee na maisha yako bro. Wanawake ni mob, focus kwenye michongo na kazi zako.
 
Naungana mkona na wewe kwa issue ya kuachana nae, sikuungi mkono kwa kitendo cha kutaka kumdhalilisha, wanaume 95% ya walioachana na wake zao (sio wachumba ) hata kama alimuacha mkewe kwasababu ya kumfumania you will never hear them talking sheet to their ex wieves, hiyo ni tabia ya KIKE, kua mwanaume tu. Mwambie the ABCD ya kile ulicho kishuhudia kwake au mrushie hizo text mlizo chart nae huko sijui unakosema badoo then achana nae, kumdhalilisha HAPANA. Next time, usimchungeze sana mwanamke, wanawake ni viumbe ambao ni rahisi sana kudanganyika, kuna messages zipo humu, kwamba mwanaume unaweza mnunulia mwanamke gari but anaweza kumtunuku penzi kijana wa petrol station just kwa kumpa mafuta ya 10,000/= tu au unaweza muachia mkeo pesa ya mboga may be 10,000/= but akamtunuku penzi muuza nyama kwa kumuongea just nusu au robo kilo tu ya nyama.
 
Naungana mkona na wewe kwa issue ya kuachana nae, sikuungi mkono kwa kitendo cha kutaka kumdhalilisha, wanaume 95% ya walioachana na wake zao (sio wachumba ) hata kama alimuacha mkewe kwasababu ya kumfumania you will never hear them talking sheet to their ex wieves, hiyo ni tabia ya KIKE, kua mwanaume tu. Mwambie the ABCD ya kile ulicho kishuhudia kwake au mrushie hizo text mlizo chart nae huko sijui unakosema badoo then achana nae, kumdhalilisha HAPANA. Next time, usimchungeze sana mwanamke, wanawake ni viumbe ambao ni rahisi sana kudanganyika, kuna messages zipo humu, kwamba mwanaume unaweza mnunulia mwanamke gari but anaweza kumtunuku penzi kijana wa petrol station just kwa kumpa mafuta ya 10,000/= tu au unaweza muachia mkeo pesa ya mboga may be 10,000/= but akamtunuku penzi muuza nyama kwa kumuongea just nusu au robo kilo tu ya nyama.
Thread ya mwaka 2015 mkuu we umejikunja kutoa ushauri leo [emoji15]
 
Back
Top Bottom