kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....
mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.
Mkuu nilishawahi tumia hii njia ni hatari.waweza kuuwa mtu.
Hata Mimi nilimuacha mchumba wangu kisa mitandao ya kijamii. Niliona jamaa keshakula mzigo akalia nikamsamehe, baaada ya miezi kama 4 hivi akapata bwana mwingine fb na wakakubaliana wakapeana penzi nikawashtukia kabla nikamwita nikampa zake nusura ajiue.
Nashukuru nimepata tunaye endana tumefunga ndoa.full raha