Badoo inanivunjia uchumba wangu

Badoo inanivunjia uchumba wangu

Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....

mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.

Mkuu nilishawahi tumia hii njia ni hatari.waweza kuuwa mtu.
Hata Mimi nilimuacha mchumba wangu kisa mitandao ya kijamii. Niliona jamaa keshakula mzigo akalia nikamsamehe, baaada ya miezi kama 4 hivi akapata bwana mwingine fb na wakakubaliana wakapeana penzi nikawashtukia kabla nikamwita nikampa zake nusura ajiue.
Nashukuru nimepata tunaye endana tumefunga ndoa.full raha
 
Cha maana ukishakua na mchumba au mume ni vizuri kupunguza mitandao ya kijamii vishawishi ni vingi au kama utakuwepo usiweke picha yako kutamanisha watu wakati tayari unae mpenzi.
 
Piga chini malaya huyo..tena ulikosea ilibidi siku ile ile ungeingia room akukute..kuna wanawake hawathamini k zao..nna rafiki yangu nae alipataga buzi badoo..mpk nikamshangaa unaanzaje kumuamini mtu humjui..mnapeana namba..unamuelekeza ofisini akufate..na siku hiyo alifatwa na mzinga wa gari...lol
Badaae ndio kugundua kumbe gari ni ya mdingi..jamaa ana kistarlet...ni kujiuza huko
Wasichana tujiheshimu..hii ni aibu....haya yanatokea sana
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Km ni kweli piga chini fasta, maybe if it is a story.
 
Ukichokonoa yasiyokuhusu utakutana na yatayokukera.. Kilachokufanya umjaribu mpenz wako ni nn!! umeyatafuta mwenyew, cyo ajabu ht ww angekujarbu ungeingia king vilevile. We muache tu huyo maana kashakudhalilisha na hakufai tn. Kisa matatzo ulioyachimba mwenyew. Kiruuu
 
Kutongozwa tunatongozwa ila huyu amezidi lol ndo nn kumkandika ex wako na picha anatuma bila aibu. Hapo either mpe appointment mkutane guest ajionee mwenyewe au mtumie namba yako ya simu tena mkiwa mmekaa wote afu sikilizia atasemaje.

...Unajua Kitakachotokea!Huyo Jamaa Ataachwa Yeye Papo Hapo Afu Namchezo Utaishia Hapo!
 
Umevuna ulichopanda..

kwanini ulikuwa unamjaribu mpenzi wako? lengo lako ilikuwa iwe nini?

uamuzi ni wako ulilolitaka limekuwa.
 
Badooo 99% ya wasichana wanajiuza.ukiwa na mpenzi wako ana badoo app ktk simu yake shtuka na kimbia fasta.Badoo ni ya wasichana wanaojiuza 80% ya malaya wa sinza wapo badoo

Mkuu wewe utakuwa ni Mzoefu na hayo Makitu... au wewe ni Admin wa Badoo... Umejuaje 80% ni Malay a wa Sinza? au wewe Unaishi Sinza pia
 
ndio maana mimi sitaki kuoa, natongoza tu, maana hakuna namna. pole ila usipende kuchunguza kiumbe chochote kitakupa shida. nipe account yake ya badoo na mimi nikusaidie kwenye final investigation.
 
Piga chini malaya huyo..tena ulikosea ilibidi siku ile ile ungeingia room akukute..kuna wanawake hawathamini k zao..nna rafiki yangu nae alipataga buzi badoo..mpk nikamshangaa unaanzaje kumuamini mtu humjui..mnapeana namba..unamuelekeza ofisini akufate..na siku hiyo alifatwa na mzinga wa gari...lol
Badaae ndio kugundua kumbe gari ni ya mdingi..jamaa ana kistarlet...ni kujiuza huko
Wasichana tujiheshimu..hii ni aibu....haya yanatokea sana

mwanawake hajawahi ridhiki hata humpe dunia.,ingawaje anaweza kuto kwambia.,
 
Ukichokonoa yasiyokuhusu utakutana na yatayokukera.. Kilachokufanya umjaribu mpenz wako ni nn!! umeyatafuta mwenyew, cyo ajabu ht ww angekujarbu ungeingia king vilevile. We muache tu huyo maana kashakudhalilisha na hakufai tn. Kisa matatzo ulioyachimba mwenyew. Kiruuu

Hajawahi kufundishwa kuwa mapenzi hayajaribiwi huyu.
We kama humtaki mwache
Kusambaza picha zake ni utoto zaidi na sheria mpya itakuhusu
 
Sasa ushamjua na mchawi ukimfahamu awezi kukudhuru. Cha kufanya mpe appointment tena ya chumbani ajee akuonee akifkaa mchane live na umpe nafasi ya kujirekebisha. Utaachana na wangapi? naamini ujamkolezaa ktk ndoa na umwambi siku nikisikia au nikahisi harufu ya mambo kama haya tenaaa mimi na wewe basiii. Waaalai hatorudia na kumbukumbu ya maumivu hayo hayamtomtoka kamweee...
 
Wanaume tunapendana sana! Ona baa lilokuepuka!!

Anyway, usijitie matatizo yasiyo na msingi kuhangaika naye. Yaliyokukuta yanakutosha.

Manigga manigga....👊👊🎤🎵🎶 Manigga maniiigga🎼
 
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....

mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.

Nooo! Ampe nafasi ya kumsikiliza as per Principle of natural Justice... Hata Mwenyezi Mungu aliwasikiliza Adam na Hawa.

Hivyo, bdada atakuwa na Sababu za kufanya hivyo.🙊
 
Back
Top Bottom