Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake.
Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.