Badoo inanivunjia uchumba wangu

Badoo inanivunjia uchumba wangu

Duuh pole braza... Kiukwel wanawake co wa kuwaamini sana
 
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake.

Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.


Ushauri wa maana sana huu, big up mkuu. mwenyewe nampa ushauri huu huu. hii ndo yenyewe.
 
Pole sana Mkuu, ila kama yumo humu si kishastuka wewe ni nani kwa kusoma huu uzi? Just thinking aloud.
Kweli kabisa, kama ana simu ya kuweza ku-install apps; basi si ajabu hata ya JF anayo!.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu pole sana kwa huu mkasa ila muandalie tu mazingira umchukue tu kabaAnG afu uamshe ghafla tu..hatokusahau
 
Duuu kaka kama kweli hii kitu imekutokea kwanza pole sana,I always telling my friends that,In this world I only trust my beloved mama,becz she didn't throw me away. Hawa viumbe hawaaminiki kabisa, cha kufanya hapo ni kumwambia ukweli na kumuacha moja kwa moja ili akipata mwanaume mwingine ajifunze.

Inashangaza sna hawa viumbe wanajifunza eti baada ya kufanya makosa why don't you learn before doing s*ts. Huyo hakufai kbs utapoteza muda wako then utakuja kujuta mbeleni.
 
kujaribu mpenzi ni hatari sana

si ajabu hata hajawahi kugongwa na mtu,lakini kwa kuwa shetani yupo upande wako akaona hilo litokee

nakushauri muache lakini

kweli kabisaa mkuu alichokuwa anakitaka kakipata.

ila wanawake wa sasa hivi ni wachache sana wenye sifa za kuwa wapenzi lakini hakuna kabisa wenye sifa za kuwa wake.
 
The game of thrones.

Huyo dada anajua fika kwamba unamzingua, ndio maana anakuzingua Na wewe.

She knows what your doing that is why she is doing so.
 
Pole sana kaka angu mshirikishe Mungu ktk hili jambo akupe nguvu ya kufanya maamuzi sahihi ila usisambaze pic mitandaoni uatakuwa ujaondoa tatzo cha muhimu zungumza nae kila kitu muweke wazi uchafu wake kama ana akili timamu ataacha pia jipe muda wa kupumzika kuyatafakari haya usifanye kitu kumukomoa polee sana
 
Mambo ya kusambaxa, picha yatakukosti baadae

Fanya hivi.. Chat naye Tena panga Muonane Halafu Akujue Akishakujua Piga Chini Hapo hapo.. Atajidharau na kuharibika kisaikolojia mpk anaona Kaburi
 
Badooo 99% ya wasichana wanajiuza.ukiwa na mpenzi wako ana badoo app ktk simu yake shtuka na kimbia fasta.Badoo ni ya wasichana wanaojiuza 80% ya malaya wa sinza wapo badoo
 
Jamii yetu tunaishi kinafiki sana na ukitaka kuamini hili ni taarifa za TACAIDS zinazosema maambukizi kwa wanandoa yapo juu sana. Suala la ukosefu wa uaminifu ni letu sote bila kujali jinsi. Binafsi ningekuwa mm ndio wewe wala nisingepaniki. Ningemweleza bayana na kumwacha nisingemwacha.
 
daaaaaaah,ndo wanawake wa cku hizi hao,ndo maana vijana kasi ya kuoa inapungua sana.hawakataagi wamejirahisisha sana.huyo atakua mnyakyusa nini?
 
Back
Top Bottom