Badoo inanivunjia uchumba wangu

Badoo inanivunjia uchumba wangu

Mkuuu, mbona unanichanganya. Katika hako ka story ulijifanya unakaaa MIKOCHENI, baadae unaishi MASAKI. au sijaelewa mimi
 
Yamenikuta

Pole kaka ila nakushauri usirushe pic zake ww mwite mpe live na temana naye
 
Last edited by a moderator:
daaaaaaah,ndo wanawake wa cku hizi hao,ndo maana vijana kasi ya kuoa inapungua sana.hawakataagi wamejirahisisha sana.huyo atakua mnyakyusa nini?

Dah! Mkuu inamaana wanyakyusa ndio hawakatai? Umewahi kumuuliza Dada yako amegongwa na wangap acha dharau kende ww
 
Jambo Zuri Kwako Ni Kuwa Na Subira Lakini Tanguliza Busara Mbele Achana Naye Pia Picha Za Uchi Usipeleke Kwa Shigongo Utakuwa Umefanya Vibaya
 
Hujui hata ufanye nini na utafiti wote ulioufanya? kwani lengo la kufukukua hizo info lilikuwa nini
 
Tatizo sio kujua ukweli ila tatizo ni kuweza kuuvumilia huo ukweli ?

kwanini umpime ?
je unaweza kumuacha ?
kama wewe ulimtongoza akakukubalia kwa nini awakatalie wakimtongoza wenzio ??
 
Kuna shutup law acha udhalilishaji, kwanini umzunguke mwambie yote kuwa naona hamlingani. Huyo sio ndugu wa kuzaliwa nae kama unaulazima nae.
 
Mbona baadhi ya wanawake sasa ndio tabia yao, tena wake za watu na rings kabisa. Bora huyo wako ni just mchumba, it happened to me back then, mke wa mtu kabisa anatuma utupu wake live bila chenga, hawa watu waone hivi, baadhi ni disgrace kabisa!
 
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.

hahahahaaaaaaaaa l have to go now...
 
Yani mademu wa siku hiz ni kichef chefu,,mi pia nishawahi kumfanyia hivo dem wangu flani kipindi nikiwa form 5,,tena ye nlitumia namba nyingine tu ila cha ajabu alikubali kila kitu ikiwemo na kuonana then siku ya kuonana nikaenda mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mi nasemaga nitachelewa sana kuoa ,mbona malaya wengi sana wanauza, huyo demu wako nae ni malaya uskute ukisafiri anaenda kujiuza hawa viumbe ni mapepo, pole sana kaka nimeumia sana moyoni,tafuta pesa kwa hasira kisha ukaishi huko masaki anakotaka yeye
 
Bro,,, the movie is at the end. Endelea na mambo yako wala usihangaike nae kabisa.....picha zake delete ......
 
Duuu kaka kama kweli hii kitu imekutokea kwanza pole sana,I always telling my friends that,In this world I only trust my beloved mama,becz she didn't throw me away. Hawa viumbe hawaaminiki kabisa, cha kufanya hapo ni kumwambia ukweli na kumuacha moja kwa moja ili akipata mwanaume mwingine ajifunze. Inashangaza sna hawa viumbe wanajifunza eti baada ya kufanya makosa why don't you learn before doing s*ts. Huyo hakufai kbs utapoteza muda wako then utakuja kujuta mbeleni.

Mkuu ukigeneralize inamaanisha hata mama yako yumo maana nae ni mwanamke kama wanawake wengine. Ogopa kuunganisha watu kwenye kundi moja maana kila mtu ana tabia yake inayotokana na malezi, mazingira, hulka au ya kuzaliwa.
 
Yamenikuta

Poleee,,We sepa kivyako wala usiumize kichwa....dunian kuna leo na kesho picha we achana nazo....mwambie mpe sms zote za badooo...ataondoka mwenyewe....kuna mtu mungu kakupangia wala usijali.
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa pole sana kwa yaliyokukuta, hakika binadamu hutofautiana kama ilivyo kwako na huyo mchumba wako na watu wengine pia. Chamsingi achana nae, nyota njema huonekana asubuhi ila nyota mbaya huonekana alfajiri.

Mshukuru Mungu kwa kuuona ukweli na songa mbele muombe Mungu akuonyeshe mke Mwema Kama alivyokuonyesha maovu ya huyo dada. Kuwa mtulivu utapata mwanamke mzuri na mcha Mungu asiye mnafiki.

Hakikisha unamwambia ukweli ila asijitetee maana hana cha kujitetea kila kitu kipo wazi na kwakua kakuponda kwa mpenz mpya basi ni bora akatafuta anayemfaa. Mungu akutangulie na akupatie Mke wa kufanana nawe.
 
Dah! Mkuu inamaana wanyakyusa ndio hawakatai? Umewahi kumuuliza Dada yako amegongwa na wangap acha dharau kende ww

unasemaje wewe ndeke!...hawakataagi kumbe hujui
 
Back
Top Bottom