Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Kama ni kweli,basi mimi mgeni wa mapenzi naanza kuwaogopa wadada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nikiri hii ni ID yangu ya pili kwaajili ya issue hii tu, nisingependa kutumia yangu halisi kwasababu za kibinafsi zaidi.
Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na soon, tulikuwa tunasubiri jambo fulani ili mwezi wa 11 tufunge ndoa, kimsingi tunapendana sana, sijawahi hata siku moja ku notice jambo lolote baya kati yetu linaloweza kuleta labda ugomvi na kutokuelewana, tupo vizuri na tunafuraha muda wote.
Kama kuna shida basi ni ndogo ndogo za kupishana kauli kibinaadamu. Kiufupi niseme yaani tupo kwenye pick ya juu kabisa ya mapenzi yetu. Wiki mbili nyuma mshikaji wangu mmoja akaniambia mbona kwenye Badoo naona picha za shemu kabadili jina kidogo, unaruhusu vipi anaingia huko? Sikuamini ikabidi ni download na kuanza kumsearch.
Ilinichukua kama siku tatu kuja kumpata kwenye Badoo, na ni yeye kweli katumia jina lake lakini kimadoido. Nikahisi labda kuna mtu anatumia picha zake sio yeye, ingawa simu yake ina password kama yangu nikagundua kweli ameinstall Badoo kwenye simu yake, muda wote huo sijamwambia kitu nachunguza tu.
Nilichokifanya account yangu ya Badoo nikatafuta picha za jamaa wa costa rica sijui nikaziweka kama zangu na jina la uongo naishi mikocheni na ukiona hivi unaona mtu mambo safi yaani. Nikaanza kumchokoza mambo basi tukawa tunachat nikaanza kumchomekea nampenda nimependa picha zake na ninakaa Masaki.
Jamani wanawake ni wabaya kabisa. Akaanza ooh nina mchumba lakini tufanye siri, mara ananiponda kishenzi eti ndugu zake kama wanamlazimisha nimuoe, basi na mimi namchokonoa tu yaani anafunguka hadi aibu mengine siwezi sema hapa, in short anamaanisha I am nothing at all. Nikamuomba namba akanipa, ila yangu nikamwambia sio vizuri yeye kuwa nayo, Akanipiga mzinga wa elfu 50 nikamtumia fasta kwa kibanda ya mpesa ndio nikamchanganya kabisa.
Tukaendelea kuchat nikamuomba anitumie picha, namsifia kila ninacho mwambia natamani nione anajipiga ananitumia, jamani hizo picha unaweza kulia ukajiua, mtupu kama alivyozaliwa, mara apige k picha, mara maziwa yaani hakatai kitu, nikamuomba picha ya bwana wake akanitumia jinsi alivyo mshenzi, nikimsifia mbona handsome anaponda kinoma.
Naitwa majina yote matamu duniani hadi najionea wivu mwenyewe, kila nikiingia nakuta meseji kibao yaani ni i miss u, i cant wait to xxx with u. U have sex body nk nk. Kufikia hapo nikajua mchumba tena sina lakini nikasema ngoja niendelee kumpima, nikamchomekea mambo ya tigo akaruka sijawahi na sipendi, nikaanza kumchombeza nanini heee akaniambia labda atajaribu mara moja tu lakini anasikiaga inauma na nisi pizi ndani maana manii yakiingia eti atakuwa anawashwa na atakuwa anataka kila siku kuliwa tigo khaa!.
Wiki iliopita nikamtumia elfu 20 nikamwambia saa kumi kamili aje Sinza Hotel fulani atanikuta nimechukua chumba kabisa, nitakua namsubiria kaunta ya baa chini, mimi nikaenda nikabana sehemu, akaja hadi kaunta akakaa we simu yangu hana sasa, nikamtumia tu meseji Badoo kwamba baby sorry vikao vimenibana sana sitaweza kuja ndio akaondoka. Jamani niliumia sana sana lakini sasa roho imeisha kubali, hata kama kuchepuka lakini sio kule jamani, mtu hata humjui.
Na je huko Badoo kashatongozwa na kugongwa na wangapi, maana Badoo ni kujiuza tu hakuna friends wala followers kule, wewe unatupia picha unasubiri atakayekolea mnaanza chat. Amenidhalilisha sana sana jamani, sijawahi kumkosea lolote hadi anivue nguo vile mbele ya mtu hata asiyemjua na anavyojua kujipretand sasa, nimuulize ulikuwa wapi yaani majibu anayonipa yananipa picha ndio hunidanganya hivi kila siku.
Hadi sasa sijamwambia na sijui nifanyeje lakini mimi na yeye basi maana sasa ni wiki hata hisia sina tena mzee hashtuki kabisa mpaka ananiuliza kunani? Namjibu naumwa tu. Nataka nimfanyie kitu mbaya, hizo picha za uchi atazisoma mitandaoni na kwa shigongo na itakuwa mwisho wetu. Na sitakaa nimwambie ni mimi nilikuwa nachat naye nitaacha picha ziongee.
Naomba maoni yenu wadau
Hii naisapoti mkuu, ni lazima mdada ajue makosa yake, kisha achana naye. Habari ya kusambaza picha haina maana, achana nayo.Mambo ya kusambaxa, picha yatakukosti baadae
Fanya hivi.. Chat naye Tena panga Muonane Halafu Akujue Akishakujua Piga Chini Hapo hapo.. Atajidharau na kuharibika kisaikolojia mpk anaona Kaburi
"Just Because I'm A Woman"
Now a man will take a good girl
And he'll ruin her reputation
But when he wants to marry
Well, that's a different situation
He'll just walk off and leave her
To do the best she can
While he looks for an angel
To wear his wedding band
No, my mistakes are no worse than yours
Just because I'm a woman
"Just Because I'm A Woman"
I can see you're disappointed
By the way you look at me
And I'm sorry that I'm not
The woman you thought I'd be
Yes, I've made my mistakes
But listen and understand
My mistakes are no worse than yours
Just because I'm a woman
So when you look at me
Don't feel sorry for yourself
Just think of all the shame
You might have brought somebody else
Just let me tell you this
Then we'll both know where we stand
My mistakes are no worse than yours
Just because I'm a woman
Now a man will take a good girl
And he'll ruin her reputation
But when he wants to marry
Well, that's a different situation
He'll just walk off and leave her
To do the best she can
While he looks for an angel
To wear his wedding band
Now I know that I'm no angel
If that's what you thought you'd found
I was just the victum of
A man that let me down
Yes, I've made my mistakes
But listen and understand
My mistakes are no worse than yours
Just because I'm a woman
No, my mistakes are no worse than yours
Just because I'm a woman
Hahahah iyo ndio badoo mm pia natomba tu wengi tu uko mkuu