Bagamoyo DC wa ajabu kabisa.

Viwango vya wananchama vimepungua!
Hapana, zamani jf was meant for few special great minds ambao wana discuss ideas, now jf is for everybody hivyo lots of simple minds ndio wamejazana humu, wakifuatiwa ordinary minds wanao discuss events, great minds wanao discuss ideas wamepungua wamebaki wachache na hao wacheche wakutafuta kwa tochi, wana post kwa nadra sana!. Zamani watu kama Mzee Mwanakijiji , na kale kanzi, Cheche za fikra, khl news, huku magazetini Lula wa Ndali, ilikuwa ni daily, weekly vigongo vinashuka, siku hizi ni ikitokea, sijui kale ka inzi kamekufa!.
P
 
Mbona unaandika kama unaoga nje?
 
Tangu machawa walipopewa fursa kutamalaki humu, JF imeshuka ubora wake sana.
 
U
Unamkubuka manzie mangochie??? Dc wa zamani wa chato? Hakuwa na sifa yeyote hata ya kuwa VEO
 
Huyu dc ukisikiliza hii video fupi...ututanielewa.

Hapa wamekula pesa ndefu..

Wakawakandamiza wananchi

 
Bila picha wala video uzi wako ni batili
 
Mzee Mwanakijiji ni kada mwenzako wa Ccm ila yeye alikuwa Pro-JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…