Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Viwango vya wananchama vimepungua!Amefanya nini?.
Siku hizi mnabahati sana na hii jf ya sasa mtu unapandisha bandiko halina kichwa wala miguu, linafyekwa dakika sifuri!
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwango vya wananchama vimepungua!Amefanya nini?.
Siku hizi mnabahati sana na hii jf ya sasa mtu unapandisha bandiko halina kichwa wala miguu, linafyekwa dakika sifuri!
P
Hapana, zamani jf was meant for few special great minds ambao wana discuss ideas, now jf is for everybody hivyo lots of simple minds ndio wamejazana humu, wakifuatiwa ordinary minds wanao discuss events, great minds wanao discuss ideas wamepungua wamebaki wachache na hao wacheche wakutafuta kwa tochi, wana post kwa nadra sana!. Zamani watu kama Mzee Mwanakijiji , na kale kanzi, Cheche za fikra, khl news, huku magazetini Lula wa Ndali, ilikuwa ni daily, weekly vigongo vinashuka, siku hizi ni ikitokea, sijui kale ka inzi kamekufa!.Viwango vya wananchama vimepungua!
Mbona unaandika kama unaoga nje?Swali kidogo.
Hawa viongozi wanamatatizo.
Unamuwakilishaje Mama Samia kwa dc wa aina hii.
Kama ni uteuzi wa kujuana sawa. Hivi hakuna vijana wenye hekima?
Au ndio kuzidiana Dumba?
Asilimia kubwa ma RC hawana tatizo..upande wa ma DC inanishangaza, hivi vetting zinavamiwa?
My take
Mnamdhalilisha Mh Rais.
Sasa utashangaa mtu anaweka munakasha wake wa maana unafutwa immediately lakini bandiko hili la ajabu linaachwa lidumu hapa bila kukamilika.Amefanya nini?.
Siku hizi mnabahati sana na hii jf ya sasa mtu unapandisha bandiko halina kichwa wala miguu, linafyekwa dakika sifuri!
P
Tangu machawa walipopewa fursa kutamalaki humu, JF imeshuka ubora wake sana.Hapana, zamani jf was meant for few special great minds ambao wana discuss ideas, now jf is for everybody hivyo lots of simple minds ndio wamejazana humu, wakifuatiwa ordinary minds wanao discuss events, great minds wachache ndio wamebakia na wakutafuta kwa tochi!.
P
Hapana, zamani jf was meant for few special great minds ambao wana discuss ideas, now jf is for everybody hivyo lots of simple minds ndio wamejazana humu, wakifuatiwa ordinary minds wanao discuss events, great minds wachache ndio wamebakia na wakutafuta kwa tochi!.
P
Unamkubuka manzie mangochie??? Dc wa zamani wa chato? Hakuwa na sifa yeyote hata ya kuwa VEOSwali kidogo.
Hawa viongozi wanamatatizo.
Unamuwakilishaje Mama Samia kwa dc wa aina hii.
Kama ni uteuzi wa kujuana sawa. Hivi hakuna vijana wenye hekima?
Au ndio kuzidiana Dumba?
Asilimia kubwa ma RC hawana tatizo..upande wa ma DC inanishangaza, hivi vetting zinavamiwa?
My take
Mnamdhalilisha Mh Rais.
Hii ndio the cost of development, jf mwanzo ilikuwa ni ya only few, sasa jf ni ya wote.Tangu machawa walipopewa fursa kutamalaki humu, JF imeshuka ubora wake sana.
[emoji7]Hapana, zamani jf was meant for few special great minds ambao wana discuss ideas, now jf is for everybody hivyo lots of simple minds ndio wamejazana humu, wakifuatiwa ordinary minds wanao discuss events, great minds wachache ndio wamebakia na wakutafuta kwa tochi!.
P
Bila picha wala video uzi wako ni batiliSwali kidogo.
Hawa viongozi wanamatatizo.
Unamuwakilishaje Mama Samia kwa dc wa aina hii.
Kama ni uteuzi wa kujuana sawa. Hivi hakuna vijana wenye hekima?
Au ndio kuzidiana Dumba?
Asilimia kubwa ma RC hawana tatizo..upande wa ma DC inanishangaza, hivi vetting zinavamiwa?
My take
Mnamdhalilisha Mh Rais.
Mzee Mwanakijiji ni kada mwenzako wa Ccm ila yeye alikuwa Pro-JPM.Hapana, zamani jf was meant for few special great minds ambao wana discuss ideas, now jf is for everybody hivyo lots of simple minds ndio wamejazana humu, wakifuatiwa ordinary minds wanao discuss events, great minds wanao discuss ideas wamepungua wamebaki wachache na hao wacheche wakutafuta kwa tochi, wana post kwa nadra sana!. Zamani watu kama Mzee Mwanakijiji , na kale kanzi, Cheche za fikra, khl news, huku magazetini Lula wa Ndali, ilikuwa ni daily, weekly vigongo vinashuka, siku hizi ni ikitokea, sijui kale ka inzi kamekufa!.
P