Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
Uwanja utajengwa wapi ? Makurunge au ??Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
Labda wachukue lile shamba la nafco....lina acre kutosha sana.....mji wa bagamoyo uta boom.....huku bandari huku airport daaaaItajengwa Kitopeni
SanzaleUwanja utajengwa wapi ? Makurunge au ??
Ile strip ni fupi sanaaa.....eneo lile la familia JK.....nadhani jiraniii kwa Kawambwa.....nilipita pale miaka ile...paradise na hotels za waitaliano wanashusha ndege pale.../kingine kiko....Zinga njia panda Mbegani...bansari ya BagamoyoSanzale
Itawekewa airstrip tu, international airport ya dar tayari ipo.Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
Ndiyo Chadema hiyoDouble standards! Wa chato ni kufuja pesa! Wa bagamoyo ni kukuza utakii!!!?
Mtoa mada sijui kama unajua hata maana ya “International Airport”.Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
Kivipi? Haya yote wameyafanya ccm, wanaikubali bagamoyo wanaipinga chatoNdiyo Chadema hiyo
Kivipi? Haya yote wameyafanya ccm, wanaikubali bagamoyo wanaipinga chatNdiyo Chadema hiyo
Alichoandika sio fyongo.Demokrasia inatoa uhuru wa kusema chochote, hata kama ni fyongo, ilimradi huvunji sheria.
AsanteSanzale
Watakaopewa hiyo ardhi ili wajenge eapoti kama ile ya Atlanta nasisitiza wawe wa-Oman- maana ni ndugu zetu, wajomba wetu.Labda wachukue lile shamba la nafco....lina acre kutosha sana.....mji wa bagamoyo uta boom.....huku bandari huku airport daaaa
Eti! Lakini Mimi nimependa kifupi cha jina, BIA! Ahahahahaha!!!Double standards! Wa chato ni kufuja pesa! Wa bagamoyo ni kukuza utakii!!!?