super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Wewe ni "SUKUMA GANG"????JK anaupiga mwingi.
Huyu mzee ni sumu kwa taifa ndio maana wanasema alihusika kwenye kifo cha mwenda zake.
Na huyu ndiye alihusika kwenye hoja ya kumpitisha bi chura kugombea bila kufata utaratibu wakati hata sio mjumbe wa mkutano mkuu