Bagamoyo International Airport (BIA) itakuza utalii

JK anaupiga mwingi.
Huyu mzee ni sumu kwa taifa ndio maana wanasema alihusika kwenye kifo cha mwenda zake.
Na huyu ndiye alihusika kwenye hoja ya kumpitisha bi chura kugombea bila kufata utaratibu wakati hata sio mjumbe wa mkutano mkuu
Wewe ni "SUKUMA GANG"????
 
Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Bagamoyo (Sanzale) utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea Saadani, Selous, Mikumi na Bagamoyo.
Ufanye research kwanza ndio iandike sensitive topic bila kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…