Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #41
Ntaenda kukaa mwenyewe pale kufanya nini? Si ntaonekana nawanga, kumbuka huo ni uwanja wa shuleSi bora kama vipi uende angalau uonekane mmoja na mfia chama kuliko kuhudhuria kwenye mitandao
Dah...We jamaa muongo sana....mimi nipo kitengo cha huduma ya kwanza...hadi mkutano unaisha watu 27 walipoteza fahamu kwa sababu ya msongamano na kukosa hewa..... acha uongo 🤭Mkuu, nipo Bagamoyo eneo la Ukuni na ofsi zangu zipo magomeni karibu kabisa na viwanja vya shule ya msingi Majengo, anachoripoti jamaa ni kweli
Asubuhi wazee wa mji wanauliza Tu, Nani aende Kwa msaliti?
Hili swala la usaliti limekuzwa Sana na kuvuma mno na nadhani wengi wanasema sema tu bila hata kufahamu maana yake au dhana nzima ya huo usaliti
Watu hawajaenda kabisa, tofauti Kabisa na alipokuja Mama Samia
Wewe ni mjinga, kama kweli unaipenda chadema si ungekuja hapa uwanjani?Yaonyesha hadi mida hiyo hapo Lumumba ulipokuwapo hamkuwa na mwana chadema Ila nyie buku 7 kadhaa mliokuwa mkisubiria malipo yenu ya leo ali mradi mkono uende kinywani.
Tena alete zile picha za juu zinazopigwa kwa kutumia ndege nyuki.Weka picha ili mleta mada awe kweli ameleta uharo
Weka picha mkuu.Dah...We jamaa muongo sana....mimi nipo kitengo cha huduma ya kwanza...hadi mkutano unaisha watu 27 walipoteza fahamu kwa sababu ya msongamano na kukosa hewa..... acha uongo 🤭
Mbaazi Akikosa maua husingizia juaHuwa nawashangaa sana wanasiasa, unawakusanya Watu muda wa kazi kwasababu zipi hasa.
Kwanini wanasiasa wasiambiwe muda wakukusanya watu uwe kuanzia saa 10?
Hata huo uwanja weka picha tuoneSasa utaweka picha ya uwanja tupu??
na wewe kibwengu wa Lumumba mambo ya Lissu yanakusaidia wala kukuongezea nini zadi ya kujifurahishaNenda bagaomoyo, watu hakuna uwanjani. Hizi kelele za humu hazisadii kamanda.
Hii Hali inaweza kuwa endelevu, ukweli kabisa, Watu hawamtaki huyu mtu,Sasa utaweka picha ya uwanja tupu??
Duh! Mkuu umetisha!Dah...We jamaa muongo sana....mimi nipo kitengo cha huduma ya kwanza...hadi mkutano unaisha watu 27 walipoteza fahamu kwa sababu ya msongamano na kukosa hewa..... acha uongo 🤭
Mkuu hii history bila shaka Shangazi wa Taifa ilimpita😬Bagamoyo wanapaogopa sio utani
Uhuru wa Tanzania ulitokea pale mti wa uhuru bagamoyo na udongo ule ambao Nyerere na Karume waliuchanganya kuunda muungano wa sasa huu wa serikali mbili ambao udongo ulichukuliwa Zanzibar na Tanganyika udongo uliotumika kufunga huo muungano kwa Tanganyika ulichotwa bagamoyo ukasomewa dua nzito na wazee wa bagamoyo akapewa Nyerere akachanganye na ule wa Zanzibar uliosomewa madua na wazee wa Zanzibar
Mvunja muungano au mwenye nia ya kubomoa muungano huu wa serikali mbili kiboko yake iko bagamoyo hata Lowasa alikimbia kufanya kampeni na UKAWA wake bagamoyo anapajua alisepa
Subiribaada ya tarehe 28 utakuwa unamuona kwenye notiYaan niache shuguli zangu nikamwangalie mwanasiasa!!!
Mimi sio mataga, na pia kelele zako humu hazisaidii kitu kama huendi kwenye kampeni.hahahaaaa hahahaaaa!
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako...
Endelea kulima papai zako huko kisiji mkuu..ya Chadema unapwayaMatusi hayaruhusiwi, cha umuhimu mikutano ijayo tuende
Acha sasa akataliwe, hamna namnaLisu ni pepo 2015 alitamka wazi kuwa chadema iko tayari kushirikiana hata na Shetani kama atawasaidia kushika toka alipoulizwa kwa nini wamempokea Lowasa waliyemwita fisadi kugombea uraisi Chadema