Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Tamaa za kijinga,
Afu wanaitia aibu familia nzima,
Hapo wadau watatafta background ya family afu ukoo mzima utaonekana wa ovyo
Hakuna tabia mbaya inayokosa chanzo. Ukichimba utajua tu tabia ya huyu mwanamke imetokea huko huko kwao haikuibuka tu. Yani mumeo anazikwa umetoroka kisa mahakama haijakupatia ushindi?? Kwanza alipoona kuna wosia na ndugu wanakomaa alipaswa aungane nao wazike bila heka heka bila kwenda mahakamani.
 
Duhh kumbe.
Niliwasikia ndugu kipindi cha mazishi kwamba azikwe pale ili nyumba yake isiuzike. Na uzuri yule marehemu ndo alichuma zile mali kwa asilimia 90 mume ana asilimia ndogo sana. Sema ndo hvo ikishaitwa ndoa
Duuh hii kesi au????
 
Ni tamaa ya kipumbavu tu bila kuona mbele, mafao ya marehemu kwa muajili wake TBS ni haki ya mke na mtoto, pia mafao yote ya marehemu kwenye social security fund ni ya mke na mtoto, hizo sehemu mbili hakuna mtu yeyote anayeweza kulipwa stahili za marehemu zaidi ya mke, Sasa haya yote hayaoni?

Usikute ni group la Jackline Ntuyabaliwe mke wa Reginald Mengi akili zao zipo kwenye kinyeo.

Waweza kukutana mafao ya marehemu ni pesa nyingi kuliko hata pesa za kuuza hiyo nyumba, unachukuwa mafao mtoto aende shule na nyumba IPO, shida iko wapi?

Kama hauna nia mbaya nyumba zenye kaburi hospitali wanapanga vizuri tu bila shida yoyote.
Hawezi kua na mafao ya maan kwa umri wake ule miaka 40
 
Pengine mhusika au ndugu wa mhusika wamo humu,watapitia wataPata ujumbe
 
Duuh hii kesi au????
Hawakushtakiana.
Yule mume yeye hakujua kama ndugu(sehemeji zake) wanawaza tofauti ila alipoulizwa tu unazika mkeo wapi akajibu pale (yani kwenye ile gesti) ndugu wakasapoti lakini wao walimuuliza kwa kumtega. Walishaongea kabla kuhusu swala la mazishi ya dada yao kwamba lazima iwe hapo.
 
aisee hatari sana
 
WOSIA batili.

Wosia ni utashi na maamuzi ya marehemu juu ya mambo aliyo na mamlaka nayo 100% na yanayokubalika kisheria.

Ukifa nyumba inakuwa ya mjane, na mjane hataki kaburi mlangoni. Huna haki ya wosia kutaka kuzikwa hapo.

Na huwezi kusema nikifa mke asiuze nyumba wala asipake rangi ya kijivu wala asiingize ndani ki ben 10. Nyumba si yako tena!

Mjane kata rufaa.
Kuna maoni huwa yanaleta hitimisho kuwa inawezekana mtoa maoni ni mission town ambae anaweza kunufaika na mjane au ni mjane mwenye kimchepuko chake kisicho na makazi.

Ni ngumu sana mtu aliyepambana akajenga na ana watoto akawa na mtazamo huu, mara zote atataka atakapokufa watoto wawe na uhakika na pakulala iwapo watafeli maisha hivyo atataka kuzuia nyumba isiuzwe atakapokufa.
 
Mbona Wosia wa Marehemu Mengi Mahakama iliuutenguwa!? Siyo kila alichosema Marehemu kipindi cha uhai wake lazima kitimizwe, lazima uhalisia pia uaangaliwe! Je Marehemu angesema mkamzike Marekani mngeenda kumzika huko!!??
Ndio maana Yangu Sasa hiyo, Kuan Uhalisia na Kuna Sheria.

Ndio maana Mahakaman imeamua azikwe kwake..

Demu wa mengi, Uhalisia wake ilikua ni Ujambazi tu
 
Back
Top Bottom