Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Kwani huwa mnajali sasa mkitaka jambo lenu. Kuhusu matumizi ya ndumba kwa huyo mwanamke hisia zangu ziko 99% demu alimloga ili kumkoleza jamaa amuoe ili awe na marital rights za kuhodhi mali.

Huwezi kutembea na vigogo CCM kama sio mtu wa michezo.

Huwa hatujali kina nani?

Kwa hiyo tuseme wanaume wote in general ni maboya Kama huyo jamaa?
 
Wanyantuzu wengi hawana tabia za kisukuma, japo ni wasukuma ndo maana baadhi husema kuwa wana asili ya tutsi(hii jamii visasi viko damuni)

Kumbe mnyantunzu ! Alimwekea baba mdogo wangu Sumu , kile chakula kikamwagika akala mbwa akaangusha ndani ya sekunde kadhaa

Sema Yule baba [emoji119], akaita tu majirani akachota akapeleka sample hospital akaenda kupiga bia, Hakumuuliza Yule mama

Ila Bmkubwa alikaa Kama 2weeks akaondoka na nguo zake tu, mpaka Leo hajulikani alipo.
 
Hivi nikisema huyo mwanamke kamuua mumewe ntakua nmekosea?[emoji848]
 
Mbinu nyingine nasikia ni vyakula,, mke anakuwa anakupikia mimafuta, sukari chumvi za kutosha ili upate kisukari, uumwe ufe, hii mbinu ni ngumu sana kuigundua
Aisee,
Hii changamoto sn,
Nishaiskia pia, MKE anakua anapikia chakula chako mafuta ya transformer.
Mwaka TU, unaugua ini unakufa anabaki mjane
 
Wanyantuzu wako tofauti na wasukuma wengine wana roho za kinyama yani isingekuwa kusema huyo mke ningejua unamsema mdingi wangu mkubwa,, ye ilikuwa binti wa mkewe(ni wa huko simiyu, na wakati anaolewa na huyo mshua tayari alikuwa na mtoto wa kike), basi maisha yameenda ila mshua ni mkoloni sasa binti akaona ya nini kutesa mama yake akamtilia sumu kwenye msosi, ila mshua hiyo siku hakujisikia kula hivyo kikamwagwa jalalani,, baada ya muda walikuta mbwa kafia hapo hapo ndo kufatilia ikajuljkana ni binti wa huyo maza,, alimtimua mpk leo hajakanyaga pale,
 
Aisee,
Hii changamoto sn,
Nishaiskia pia, MKE anakua anapikia chakula chako mafuta ya transformer.
Mwaka TU, unaugua ini unakufa anabaki mjane
Ni hatari sana kuoa shetani,, ila wakati mwingine ni visasi vya matukio yenu hasa kuchepuka, kejeli na vipigo, ujue sie hatuwezi kuwapiga ndo maana maamuzi yetu ni ya kujificha ficha na hatari
 
Kwahiyo wewe mke wako anaweza kwenda kukuzika kwao?

Jiangalie, mnaanzaga uzezeta hivihivi kwa ubishi wa kipumbavu, unajuwa maana ya mahari na mwanamke kubadili ubini wake?
Vijana ukisasa unawaponza sna
 
Asante chief.

Hapa napata somo moja tu,
KATAA NDOA, NDOA NI KIFUNGO,
USIOGOPE ndoa.

Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971, Sura ya 29, Kipengele cha 5, Ibara ya 58 iinasema, ndoa isiwe sababu ya kumzuia mtu kutafuta chake, wala kumiliki chake, wala kuuza chake kivyake vyake.

Nje ya hiyo nyumba ya wanandoa unaruhusiwa kuwa na chako, iwe umechuma kabla au ndani ya ndoa. Ukiwa na vijumba vingine ukaweka wapangaji sawa, hizo haziguswi na mke au mme. Mradi ina jina lako na hamuishi humo.

Lakini mule mnamoishi na mkeo kaa ukijua huna mamlaka pale. Haiuziki bila idhini yake mpaka kifo kiwatenganishe. Na ukifa huna mamlaka ya kuzuia mjane kupauza. Au kuingiza ki ben 10 chake aishi nacho. Wala wewe kuandika wosia eti uzikwe mlango wa mbele. Sio eneo lako!

Kazikwe kijijini kwenu maporini huko au kwenye hizo nyumba zako za kupangisha zenye jina lako peke yako kama unataka kuzikwa mlango wa mbele.
 
Ila ukimsainisha mke wako Pre-nup contract kabla ya ndoa, ukaweka terms kuhusu mali zako, hio si inakua favourable kama mtaachana? na vp inaruhusiwa kwa sheria za Tanzania?
 
Ni hatari sana kuoa shetani,, ila wakati mwingine ni visasi vya matukio yenu hasa kuchepuka, kejeli na vipigo, ujue sie hatuwezi kuwapiga ndo maana maamuzi yetu ni ya kujificha ficha na hatari
Hii ndo point muhimu kuliko chochote... Kama huyo DeepPond na umalaya wake kumbe mke wake anamchora tu...ni mwendo wa kuweka mafuta ya transforma kwenye misosi akajifie mbele huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…