Mwanamke msukuma nyie huyo, wachaga hawana hiyo roho.Mi yalinikuta kwa hao Wachaga nilibaki kimbaumbau kidogo nidanje, sijui nilitoka vipi ktk lile dimbwi la mauti [emoji849]
Asante sana Mungu kuniokoa [emoji2960]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke msukuma nyie huyo, wachaga hawana hiyo roho.Mi yalinikuta kwa hao Wachaga nilibaki kimbaumbau kidogo nidanje, sijui nilitoka vipi ktk lile dimbwi la mauti [emoji849]
Asante sana Mungu kuniokoa [emoji2960]
Kwani huwa mnajali sasa mkitaka jambo lenu. Kuhusu matumizi ya ndumba kwa huyo mwanamke hisia zangu ziko 99% demu alimloga ili kumkoleza jamaa amuoe ili awe na marital rights za kuhodhi mali.
Huwezi kutembea na vigogo CCM kama sio mtu wa michezo.
Wanyantuzu wengi hawana tabia za kisukuma, japo ni wasukuma ndo maana baadhi husema kuwa wana asili ya tutsi(hii jamii visasi viko damuni)
Hivi nikisema huyo mwanamke kamuua mumewe ntakua nmekosea?[emoji848]Hakuna tabia mbaya inayokosa chanzo. Ukichimba utajua tu tabia ya huyu mwanamke imetokea huko huko kwao haikuibuka tu. Yani mumeo anazikwa umetoroka kisa mahakama haijakupatia ushindi?? Kwanza alipoona kuna wosia na ndugu wanakomaa alipaswa aungane nao wazike bila heka heka bila kwenda mahakamani.
Ha ha ha...umetisha Sana[emoji38]Mi nitasisitiza nizikwe Bedroom kabisa,ili wife augope kuingiza Mtu chumbani kwangu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bongo Wanaume wengi (hasa wenye Mali) wanafariki vifo vya utata sanaHuyo mwanamke akichunguzwa vizuri utakuta amehusika na kifo cha mumewe ili auze nyumba na mali zingine.
Ufanywe upelelezi!
Aisee,Mbinu nyingine nasikia ni vyakula,, mke anakuwa anakupikia mimafuta, sukari chumvi za kutosha ili upate kisukari, uumwe ufe, hii mbinu ni ngumu sana kuigundua
Wanyantuzu wako tofauti na wasukuma wengine wana roho za kinyama yani isingekuwa kusema huyo mke ningejua unamsema mdingi wangu mkubwa,, ye ilikuwa binti wa mkewe(ni wa huko simiyu, na wakati anaolewa na huyo mshua tayari alikuwa na mtoto wa kike), basi maisha yameenda ila mshua ni mkoloni sasa binti akaona ya nini kutesa mama yake akamtilia sumu kwenye msosi, ila mshua hiyo siku hakujisikia kula hivyo kikamwagwa jalalani,, baada ya muda walikuta mbwa kafia hapo hapo ndo kufatilia ikajuljkana ni binti wa huyo maza,, alimtimua mpk leo hajakanyaga pale,Kumbe mnyantunzu ! Alimwekea baba mdogo wangu Sumu , kile chakula kikamwagika akala mbwa akaangusha ndani ya sekunde kadhaa
Sema Yule baba [emoji119], akaita tu majirani akachota akapeleka sample hospital akaenda kupiga bia, Hakumuuliza Yule mama
Ila Bmkubwa alikaa Kama 2weeks akaondoka na nguo zake tu, mpaka Leo hajulikani alipo.
Kuddddk[emoji1787]Halafu yeye hali anakwambia anafanya diet.[emoji3][emoji3]
Sahii kabisa,Mali siku hizii hazina kabilaa wanawakee wanaijuaa helaa kulikoo helaa inavyojijuaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza jazba mkuu,Ooh My God. Nimechukia mno kmmk. Miwanawake mingine kwann inakuwa misenge hivo kumanina kabisa.
Mikundu yao[emoji34][emoji34]
Ni hatari sana kuoa shetani,, ila wakati mwingine ni visasi vya matukio yenu hasa kuchepuka, kejeli na vipigo, ujue sie hatuwezi kuwapiga ndo maana maamuzi yetu ni ya kujificha ficha na hatariAisee,
Hii changamoto sn,
Nishaiskia pia, MKE anakua anapikia chakula chako mafuta ya transformer.
Mwaka TU, unaugua ini unakufa anabaki mjane
Vijana ukisasa unawaponza snaKwahiyo wewe mke wako anaweza kwenda kukuzika kwao?
Jiangalie, mnaanzaga uzezeta hivihivi kwa ubishi wa kipumbavu, unajuwa maana ya mahari na mwanamke kubadili ubini wake?
Hakika mkuu,Mambo yako haya Deep
Ukendekeza fair play kila mdaNakosa vingi sana kwa kuwa napenda democracy/fair play kwenye mahusiano.
Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
USIOGOPE ndoa.Asante chief.
Hapa napata somo moja tu,
KATAA NDOA, NDOA NI KIFUNGO,
Ila ukimsainisha mke wako Pre-nup contract kabla ya ndoa, ukaweka terms kuhusu mali zako, hio si inakua favourable kama mtaachana? na vp inaruhusiwa kwa sheria za Tanzania?USIOGOPE ndoa.
Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971, Sura ya 29, Kipengele cha 5, Ibara ya 58 iinasema, ndoa isiwe sababu ya kumzuia mtu kutafuta chake, wala kumiliki chake, wala kuuza chake kivyake vyake.
Nje ya hiyo nyumba ya wanandoa unaruhusiwa kuwa na chako, iwe umechuma kabla au ndani ya ndoa. Ukiwa na vijumba vingine ukaweka wapangaji sawa, hizo haziguswi na mke au mme. Mradi ina jina lako na hamuishi humo.
Ila ile mule mnamoishi na mke kaa ukijua huna mamlaka pale. Haiuziki bila idhini yake mpaka kifo kiwatenganishe. Na ukifa huna mamlaka ya kuzuia mjane kupauza. Au kuingiza ndani ki ben 10 aiishi nacho. Wala wewe kuandika wosia eti uzikwe mlango wa mbele. Sio eneo lako!
Kazikwe kijijini kwenu maporini huko au kwenye hizo nyumba za pembeni zenye jina lako kama unataka kuzikwa mlango wa mbele.
HahahhahaahaPunguza jazba mkuu,
Ukakasirika mapema kwa presha utakufa hata sumu aliyodhamiria hajakukorogea[emoji4]
Hii ndo point muhimu kuliko chochote... Kama huyo DeepPond na umalaya wake kumbe mke wake anamchora tu...ni mwendo wa kuweka mafuta ya transforma kwenye misosi akajifie mbele huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni hatari sana kuoa shetani,, ila wakati mwingine ni visasi vya matukio yenu hasa kuchepuka, kejeli na vipigo, ujue sie hatuwezi kuwapiga ndo maana maamuzi yetu ni ya kujificha ficha na hatari