Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Hiyo kumtimua pekee haikutosha.
 
"Na ukifa huna mamlaka ya kuzuia mjane kupauza. Au kuingiza ki ben 10 chake aishi nacho"
[emoji115][emoji115]
Na je akifa yeye nitakuwa na mamlaka ya kuingiza slay queen wangu ndani ya nyumba hiyo?
 
Mwanamke gani wa kibongo atakubali kusaini akose Mali?, Wengi wanafuata Mali kwako si dudu maana kama ni dudu mbona wanakua wanazo nyingi tu b4 ww
Hakika. Na unafuu wa maisha pia! "Wengi wanafuata mali kwako na si dudu, kama dudu wanazo za kutosha hata kabla yako"
[emoji115]
Tuishi humo
 
Huyo wakudili naee fwakenii kabisaa...
 
Umeona mbali sana,kwenye mazingira kama hayo mtu akipata nguvu na nafasi anaweza kufanya lolote maana kwa muda huo roho inageuka anakuwa mnyama kutokana na mateso aliyopitia.
 
Yaani kwa Tz hizi tafsiri za sheria hazina mantiki kabisa, na ina shangaza jinsi jamii inavyoshadadia kudhalilishwa kwa mke wa mhusika!
Mimi naona mahakimu waliohukumu hiyo kesi wako sahihi.
Kwenye kuhukumu kesi kuna busara pia huwa zinatumika kutokana na mazingira halisi,sio kila hukumu watumie guidance ya makaratasi kama marking scheme italeta hatari ya watu kukosa haki zao au kunufaika mtu asiyestahili na ukizingatia pia kuna wosia wa marehemu umeongeza uzito zaidi.
Kwa mfano kwenye hili sakata wewe kama ndio hakimu unaona dalili zote kabisa kwamba mwanamke hakuwa na mapenzi na mme wake ila amekuja kwa lengo la kuvizia mali tu bado wewe kama hakimu utampa upendeleo wa ushindi mwanamke huyo?
Mtu ambaye unaambiwa hadi amefumaniwa akifanya ufuska na watu wengine kabla mme wake hajafariki.
 
Mazingira ya Ulaya na huku ni tofauti mkuu,wakisema wakopi sheria zote jinsi zinavyotumika Ulaya huku hazitafanya kazi.
Kwa sababu watu wa Ulaya ni waaminifu ukilinganisha na watu wa huku kwetu ambapo watu wanafeki maisha kuingia kwenye ndoa kwa sababu ya njaa ya mali sasa ukiwapa sheria inayowabeba kwa asilimia 100 huoni kwamba vifo vitaongezeka zaidi kila siku maana sheria itakuwa imewapa guarantee kwamba mme akifa ndugu hawakuingilii maamuzi yako itakuwa hatari sana.
 
Marehemu alishaacha wosia azikwe Bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mumewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange
Kamuua huyo
 
Ndoa sio mbaya kitu wanachofeli watu wengi kwenye ndoa ni uchaguzi wa huyo mwenza. Mtu unamkuta kitabia na kifamilia alikotoka ni class D anataka kujichomeka kuoa mwanamke aliezaliwa na kukulia class A.. Hio ndoa haitakaa idumu. ndio maana mataifa ya wenzetu kuna classes huwezi kuivuka kwenda kuoa huko juu ingawaje nao sometimes ndoa hazidumu. Kama wewe ni class D unatakiwa uoe class G Au H huko toka kijijini. sasa siku hizi mtu kapata vipesa kidogo tu kaona Tako anataka ndoa... lazima uliwe hapo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…