Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Mtu akishakuwa ni mume/mke wa mtu halali mwenzie akitangulia all alobaki ndio wa kupanga ni wapi mume/mke wangu atazikwa! Sio ndugu......ndugu kuingilia kupanga flani azikiwe wapi ndio wana jambo lao
Hivi kwao mwanamke alie kwenye ndoa ni wapi, alafu kumbuka mwanamke haoi bali anaolewa.

Tunapofiwa wanaume ndiyo hupanga mipango yote ya mazishi, huyu mwanamke sijui alizipata wapi nguvu za kuamua mazishi.
 
Hapana inategemeana mbona tumezika wachaga wengi kwenywe maeneo yao wengine kwenye makaburi ya umma, wengine unakuta kwao walishauza maeneo
Mkuu alisimama Mzee fulani kwenye msiba mmoja Morogoro akatamka hadharani, akasema wachaga wanaojitambua kamwe hawazikwi ughaibuni, akakazia akasema fuatilieni mtaona, tukashangaa
 
Nimeona jambo. Huenda hilo janajike pia lilihusika na kifo cha mumewe so mume alipoona dalili za mke kuhusika ili asimwache afaulu dhumuni lote akaagiza azikwe kwake si moshi. Jaman chungeni sana wanawake mnaoishi nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…