Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Nahisi huyu Jamaa ndiye yule aliyejizolea umaarufu JF kwa kugonga likes kwa kila Mtu [emoji4]Mkuu raraa reree ubarikiwe, likes zako naziona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi huyu Jamaa ndiye yule aliyejizolea umaarufu JF kwa kugonga likes kwa kila Mtu [emoji4]Mkuu raraa reree ubarikiwe, likes zako naziona.
Mkwepu Jr [emoji2]Mkuu raraa reree ubarikiwe, likes zako naziona.
Hakika, na niliathirika kisaikolojia kabisa nikidhani Ke wote ndivyo walivyo kumbe sivyo.pole sana ila una bahati mkuu, wengi wameishia kuwa mbolea za migomba kule uchagani.
Mtu kashakufa hana thamani hata hao ndugu wanaopiga kelele hakuna anayetaka kulala nae ..Huyo zake zishafika hana chake.Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Hivi kwao mwanamke alie kwenye ndoa ni wapi, alafu kumbuka mwanamke haoi bali anaolewa.Mtu akishakuwa ni mume/mke wa mtu halali mwenzie akitangulia all alobaki ndio wa kupanga ni wapi mume/mke wangu atazikwa! Sio ndugu......ndugu kuingilia kupanga flani azikiwe wapi ndio wana jambo lao
Ntakuja tu mkuu usijali[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu niache ase [emoji23][emoji23] napambana next week waniletee huku wameandika jina
Nakungojea huku ulisema unakuja ujatokea
Sijakuelewa wewe ulitakaje, usia wa marehemu upuuzwe, ikiwa hata serikali yenyewe inaheshimu usia.Jifunze tofauti ya utu na unyama, be humble hakuna tunachoondoka nacho even our clothes.
Deep pond yuko na stress, eti ametutungia hadithi kwamba amepigwa kibuti na mkewe!@DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Samahani mkuu, sikulenga kukucomment wewe, ila yote kwa yote naunga mkono maneno yako.Jifunze tofauti ya utu na unyama, be humble hakuna tunachoondoka nacho even our clothes.
@DeepPond mzee wa mambo mengi.Deep pond yuko na stress, eti ametutungia hadithi kwamba amepigwa kibuti na mkewe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]pamoja sana mkuu
Ntakuja tu mkuu usijali
Mkuu alisimama Mzee fulani kwenye msiba mmoja Morogoro akatamka hadharani, akasema wachaga wanaojitambua kamwe hawazikwi ughaibuni, akakazia akasema fuatilieni mtaona, tukashangaaHapana inategemeana mbona tumezika wachaga wengi kwenywe maeneo yao wengine kwenye makaburi ya umma, wengine unakuta kwao walishauza maeneo
You've got the point! Nothing else.Kwahiyo marehemu hajazikwa?? Huyo alitaka aiuze nyumba maana si unajua huwezi uza nyumba na kaburi