Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Hivi ukishakuwa na ndoa mwenye haki ya kuzika ni mke au ndugu wa mume?

Naona kama umetukana bila sababu hivi.
We mjinga kama huyo demu.
Kwa taarifa marehemu alisema azikwe hapo, ila mwanamke wa kisukuma kwa kushirikiana na mama yake wakaenda kuweka court injuction hawataki azikwe hapo eti wanataka wauze hilo eneo(upunguani)
 

Hii ni kwa mujibu wa katiba, dini au mila au desturi?
 
Mnooo anathamini Mali kuliko utu....na Kwa staili huyu dada alikua kimaslahi zaidi
Unapata wapi ujasiri wa kufunga mlango msiba wa mwenza wako?dada ana balaa
Yeye na ukoo wake wote washenzy sana
Mwanamke hawezi kuwa na tabia za ovyo za kujulia mjini. Yani ni mambo yanaanzia kwenye familia zao kwenye malezi. Unaambiwa ndugu wa mke wote walijificha hawajazikaa
 
Hivi kwao mwanamke alie kwenye ndoa ni wapi, alafu kumbuka mwanamke haoi bali anaolewa.

Tunapofiwa wanaume ndiyo hupanga mipango yote ya mazishi, huyu mwanamke sijui alizipata wapi nguvu za kuamua mazishi.
Oooh natafakari hapa unaweza kuta hata kifo cha mumewe kina utata, mwanamke ameshajaa ushetani hataki hataki hata kuwa karibu na kaburi la mumewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…