We mjinga kama huyo demu.Hivi ukishakuwa na ndoa mwenye haki ya kuzika ni mke au ndugu wa mume?
Naona kama umetukana bila sababu hivi.
Kwa taarifa marehemu alisema azikwe hapo, ila mwanamke wa kisukuma kwa kushirikiana na mama yake wakaenda kuweka court injuction hawataki azikwe hapo eti wanataka wauze hilo eneo(upunguani)