Bagamoyo Port construction contract to be inked in June

Bagamoyo Port construction contract to be inked in June

Reli ipo inajengwa, Dar port inajengwa pia, pipeline maandalizi ya ujenzi yameanza.😀😀 Imoji zinapokuwa nyingi jua mtu kahumia sanaaaa😀

SGR by March ujenzi ulipofikia😀😀
Bandari Dar ujenzi ulipofikia😀 Kuna mtu tutamuacha na mataruma yake

Speech vumbi mingi like i said tuta, ita leta picha t-beam *****😀😀😀😀😀😀😀
 
Naona wakenya bado na kejeli zao za kishamba. Wanategemea miradi mikubwa kama hiyo ijengwe kama uyoga. Kwa kweli tumewashika pabaya.
 
Naona wakenya bado na kejeli zao za kishamba. Wanategemea miradi mikubwa kama hiyo ijengwe kama uyoga. Kwa kweli tumewashika pabaya.
Hapa Ndio mnapenda kutishkia vibaya😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
IMG_20180424_124137.jpg
 
Huo ni upumbavu. Sisi tunaongelea mambo ya maana wewe unaleta upuuzi wa kwenye media zenu. Ficha upumbavu wako.
Ukweli unauma aisee miradi hewa ndio ya maana😀😀😀😀😀😀😀
 
Afadhali, kuna wakati nilifikiria hii project imekufa. Tuombe dua ifanikiwe iingeze mzunguko Bagamoyo.
 
Speech vumbi mingi like i said tuta, ita leta picha t-beam *****😀😀😀😀😀😀😀
Kenya "tuta" peleka SGR kisumu na malaba lini? Kenya "tuta" fungua Lamu port lini? kenya "tuta" jenga oil pipeline lini? Kenya "tuta" uza crude oil lini? kenya "tuta" kuwa food secure lini? 😀😀😀😀
 
Kenya "tuta" peleka SGR kisumu na malaba lini? Kenya "tuta" fungua Lamu port lini? kenya "tuta" jenga oil pipeline lini? Kenya "tuta" uza crude oil lini? kenya "tuta" kuwa food secure lini? 😀😀😀😀
Pipeline ishamalizika, lamu inakaribia kumalizika, sgr nairobi naivasha iko on track sasa sijui wewe unaongea nini sasa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nyiyi bagamoyo-tuta
Pipeline -mou, tuta, 2016,17,18...
Sgr-vumbi kuchimba tu ardhi
Gdp tuta, tuki piku😀😀
 
inakaribia... , on track... hahahaha. Nyani haoni kundule.
 
the only thing they have photos off is a yellow wall and some parking lights i saw geza posting
32fe0dfc98a150abcead5533b7beca04.jpg
 
Pipeline ishamalizika, lamu inakaribia kumalizika, sgr nairobi naivasha iko on track sasa sijui wewe unaongea nini sasa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nyiyi bagamoyo-tuta
Pipeline -mou, tuta, 2016,17,18...
Sgr-vumbi kuchimba tu ardhi
Gdp tuta, tuki piku😀😀
Pipe line ishamalizika? Gani? hahaha eat your words pole pole..ngeli ni ile ile "tuta" 😀
 
inakaribia... , on track... hahahaha. Nyani haoni kundule.
Huwezi linganisha mwanamke mwenye ana mimba ya miezi nana
inakaribia... , on track... hahahaha. Nyani haoni kundule.
kamwe huwezi linganisha mwanamke ambae ako mimba ya miezi nane na mwenye bado anajaribu kutiwa mimba😀😀😀😀😀
 
Huwezi linganisha mwanamke mwenye ana mimba ya miezi nana

kamwe huwezi linganisha mwanamke ambae ako mimba ya miezi nane na mwenye bado anajaribu kutiwa mimba😀😀😀😀😀
Tanzania is already exporting Gas, where is kenya on its oil export program? Bado "tuta?" ama? 😀
 
Ni vizuri watajenga Bandari, Serikali nayo iseme ukweli kuhusu umiliki na ujengaji wa hii bandari..
Hatujajuwa wanaficha au hawajasema hili swala kwa makusudi...
Kifupi, Bandari itajengwa Bagamoyo, nchini kwetu, tutaiona, ila hatuna hati miliki pale sijuwi kwa muda gani...Wanaojuwa lugha ya Malikia someni hapo chini tafadhali...

Tanzania surrenders Bagamoyo port project to Chinese firm
Tuesday October 3 2017
Port of Dar es Salaam. The Bagamoyo project

Port of Dar es Salaam. The Bagamoyo project framework agreement was signed on March 24, 2013 to enhance competition along the EastAfrican coast and supplement the Tanzanian ports of Dar es Salaam and Mtwara. PHOTO FILE | NMG

In Summary

Under a three-way partnership signed with Oman and China in 2013, Tanzania was to get an undisclosed shareholding in the project by dint of raising $28 million for compensating landowners who were to be displaced.
The Bagamoyo project framework agreement was signed on March 24, 2013 to enhance competition along the EastAfrican coast and supplement the Tanzanian ports of Dar es Salaam and Mtwara.
The Bagamoyo port and its affiliate industrial zone is meant to address congestion at the old port and support Tanzania to become East Africa’s leading shipping and logistics centre. The port is located about 75 kilometres from Dar es Salaam and 10 kilometres from Bagamoyo town.
Financial constraints have forced Tanzania to miss out on ownership of the $10 billion Bagamoyo Port and Special Economic Zone project.
Under a three-way partnership signed with Oman and China in 2013, Tanzania was to get an undisclosed shareholding in the project by dint of raising $28 million for compensating landowners who were to be displaced.
But the government managed to raise only $1.5 million and compensated a few of the 2,180 registered residents of the area earmarked for the project. There are other owners of large tracts who do not reside in the area and are yet to be registered for the compensation.
With investors anxious of losing the business opportunities envisaged from the project, the government is now negotiating with the investment partners for them to fund the compensation of land owners. In turn, the government will forego an equity stake in the project and only benefit from taxes on the land and occupancy by the investors.
Minister for Industries and Trade Charles Mwijage told The EastAfrican that the discussions with investment partners also revolve around the legal framework to ensure there would be no conflict between them and the Bagamoyo community.
China Merchants Holdings International (CMHI), a port management firm, is understood to be ready to raise money for the compensation. CMHI managing director Hu Jianhua said in a statement two weeks ago that the company would run Bagamoyo as one of its overseas ports.
“We had not abandoned this project. We were waiting to compensate the people whose land was taken for development of various business programmes,” he said.
CMHI said in its report that the Bagamoyo SEZ is part of its global investments. In Africa, the Chinese company has invested in Kenya, Ethiopia, Togo, Nigeria and Djibouti.
The Bagamoyo project framework agreement was signed on March 24, 2013 to enhance competition along the EastAfrican coast and supplement the Tanzanian ports of Dar es Salaam and Mtwara.
Retired President Jakaya Kikwete touted the project during his term, vowing to construct Tanzania’s biggest port at the former slave harbour with funding from Oman and China.
However, when President John Magufuli came to office in 2015, the project took a backseat as the government prioritised improvements of Dar es Salaam, Mtwara and Tanga ports.
The Bagamoyo port and its affiliate industrial zone is meant to address congestion at the old port and support Tanzania to become East Africa’s leading shipping and logistics centre. The port is located about 75 kilometres from Dar es Salaam and 10 kilometres from Bagamoyo town.
Some 190 industries have been marked for development within the SEZ. When fully developed, the Bagamoyo SEZ will attract about 700 industries to become a strategic investment zone in East Africa.
CMHI said among the projects envisaged in the Zone are industrial parks worth $120 million, a $70 million tourism Park, free port facilities ($ 90 million), free trade zone ($70 million), Science and Technology parks ($ 50 million), International business centre ($70 million) and industrial sheds costing $20 million.

CHANZO
Dar surrenders Bagamoyo port project to Chinese via @The_EastAfrican
 
Back
Top Bottom