G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Tanga kwa namna moja au nyingine atapewa Total aiendeshe na serikali kubaki na usimamiziVipi kuhusu Tanga na Mtwara?
Mtwara nadhani hakuna jibu kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga kwa namna moja au nyingine atapewa Total aiendeshe na serikali kubaki na usimamiziVipi kuhusu Tanga na Mtwara?
Mimi nilidhani hizo bandari mbili ni muhimu kwa sasa kuliko Bagamoyo.Tanga kwa namna moja au nyingine atapewa Total aiendeshe na serikali kubaki na usimamizi
Mtwara nadhani hakuna jibu kwa sasa
Hivi kwani tukiwa na Bagamoyo Port ambayo itakuwa kubwa zaidi naya kisasa Africa Mashariki kunatatizo ??Mimi nilidhani hizo bandari mbili ni muhimu kwa sasa kuliko Bagamoyo.
Anyways....since sio hela ya serikali itakayotumika hapo.....lets wait and see
Bandari moja kubwa na bandari tatu medium-sized lakini fully functional and efficient ipi bora?Hivi kwani tukiwa na Bagamoyo Port ambayo itakuwa kubwa zaidi naya kisasa Africa Mashariki kunatatizo ??
Mbona kuna upanuzi unaendelea Mtwara na Tanga? Isitoshe Bagamoyo port inajengwa na private sector.Bandari moja kubwa na bandari tatu medium-sized lakini fully functional and efficient ipi bora?
Mi naona bora Tanga na Mtwara ziimarishwe kwanza. Tanga kuna bomba la mafuta linakuja na kule Mtwara ile bandari iende sambamba na ujenzi wa reli ya SGR to Amelia Bay na Mchuchuma & Liganga mines.
Yap thats what I said. Since it isn't government money itakayotumika haina shida.Mbona kuna upanuzi unaendelea Mtwara na Tanga? Isitoshe Bagamoyo port inajengwa na private sector.
Ushaambiwa fedha binafsi chokochoko za nn?Yap thats what I said. Since it isn't government money itakayotumika haina shida.
Ila hawa wachina sio wa kuwaamini.
Read this Inside China's $1 billion port where ships don't want to stop
Ushaambiwa fedha binafsi chokochoko za nn?
lamu ambayo inajengwa miaka nenda miaka rudi kila siku wanabadilisha mwaka wa kukamilisha ujenzi😀😀hivi, hii port ya bagamoyo iko supposed ku shindana na port ipi hapa Kenya??
kila siku nunabadilisha miaka ya kukamilika mwanzo ilikua 2019 mkasema 2020 na sasa 2021 hehehe kesho mutatumabia 2023😀😀😀😀hawajui kwamba in 2021, Lamu port; the biggest port this sides of the world itakuwa imesha anza operations. wadanganyika ni vibonzo!
lamu ambayo inajengwa miaka nenda miaka rudi kila siku wanabadilisha mwaka wa kukamilisha ujenzi😀😀
kila siku nunabadilisha miaka ya kukamilika mwanzo ilikua 2019 mkasema 2020 na sasa 2021 hehehe kesho mutatumabia 2023😀😀😀😀
Acha zijengwe zote mkuu...hapo naona serikali inapaswa kujikakamua na Bandari ya Mtwara maana kule kuna project ya reli kwenda nyanda za juu kusini.Mimi nilidhani hizo bandari mbili ni muhimu kwa sasa kuliko Bagamoyo.
Anyways....since sio hela ya serikali itakayotumika hapo.....lets wait and see
Kwani umeambiwBandari moja kubwa na bandari tatu medium-sized lakini fully functional and efficient ipi bora?
Mi naona bora Tanga na Mtwara ziimarishwe kwanza. Tanga kuna bomba la mafuta linakuja na kule Mtwara ile bandari iende sambamba na ujenzi wa reli ya SGR to Amelia Bay na Mchuchuma & Liganga mines.
Kwani umeambiwa hazi imarishi ?? Sehemu zote ujenzi unaendeleaBandari moja kubwa na bandari tatu medium-sized lakini fully functional and efficient ipi bora?
Mi naona bora Tanga na Mtwara ziimarishwe kwanza. Tanga kuna bomba la mafuta linakuja na kule Mtwara ile bandari iende sambamba na ujenzi wa reli ya SGR to Amelia Bay na Mchuchuma & Liganga mines.
Ya Mtwara inajengwa hivi hapa napo ongea.Acha zijengwe zote mkuu...hapo naona serikali inapaswa kujikakamua na Bandari ya Mtwara maana kule kuna project ya reli kwenda nyanda za juu kusini.
Ikijengwa ya bagamoyo ambayo ipo kwenye mpango wa iconomic special zone haitagharimu pesa zetu....ile ya tanga kwa vyovyote vile Total wataijenga tu so serikali itabakia na ya mtwara.
Haha everything in this country 'kitaanza hivi karibuni'. Hujachoshwa tu na hizo porojo?
Anyways.......hujanielewa. Nimesema since ni hela ya wachina, no worries!
Ila I CAN BET $100 saiv hakutakuwa na Bandari ya maana hapo Mtwara wala Tanga in the foreseeable future! Hiyo yenyewe ya Bagamoyo nina wasiwasi nayo. We have been discussing it tangu mwaka gani sijui.
Ni jambo jema.Ya Mtwara inajengwa hivi hapa napo ongea.