mshikaji huwa anasumbuliwa na kisukari so yawezekana ndo outcome yake na sio kwamba kajikondesha
mshikaji huwa anasumbuliwa na kisukari so yawezekana ndo outcome yake na sio kwamba kajikondesha
wekeni picha basi tumjue ni nani?! ndiye aliyeimba mwana dsm au kitorondo?! ...........
Grand PA
duh wabongo bwana...
Mbona kama watu wawili tofautii
Dooh Bagdad ndio kapungua hivi.. alafu mbona sikuiz hasikiki tangu aache kutangaza clouds hata kuimba sikuizi simsikii pia.. su karudi shule??
Duh kakonda hadi sura kama sio yeye vile