Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

messi1991

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
19
Reaction score
2
Nimeshangaa sana leo kwenye friday night live kumuona baghdad kuwa mwembamba sana kubadilika toka unene wa Sean Kingston.
 
Nini baghdad mcheki dodoma utampenda
 
Amejikondesha too much..

Hii itakua hatari hata kwa afya yake aisee..
 
mshikaji huwa anasumbuliwa na kisukari so yawezekana ndo outcome yake na sio kwamba kajikondesha
 
Alisema ametumia dawa jana ktk kipindi cha friday night EATV na EA Radio akaendelea kusema kama kuna mtu ataka kujua dawa gani alitumia amcheki
 
Bagdad wa mexcana la cavela hatari sana huyu mtu ndo alikua mpinzan wa lunduno (niki mbishi,uno, sterio)
 
Hapa alivyokuwa mwanzo.
pg%2Bkweka.jpg


Hapa ndivyo alivyo.
1483124_671770252843923_399033784_n.jpg

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Mapenzi Sheeda Pesa ndio Kabisa #waalade
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
 
Dooh Bagdad ndio kapungua hivi.. alafu mbona sikuiz hasikiki tangu aache kutangaza clouds hata kuimba sikuizi simsikii pia.. su karudi shule??
 
Dooh Bagdad ndio kapungua hivi.. alafu mbona sikuiz hasikiki tangu aache kutangaza clouds hata kuimba sikuizi simsikii pia.. su karudi shule??

nadhani kashindwa kusimama peke yake bila supot ya kundi (mexcana lacàvela)
 
Back
Top Bottom