Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Weeeeeeenge ๐Mkuu nakumbuka mara ya mwisho ulisema ngoja uniignore nikaona umefanya busara lakini ukufanya ivyo naona matusi kama haya sio vyema kutukana kwa mtu usie mjua kama uwezi basi jitahidi ata kidogo kuchunga kinywa kisitoe matusi
Nisikukamate aseAnajituma jikoni hasa, mashallah
Ila mwamba anajua kupika mazee..๐คจAnajituma jikoni hasa, mashallah
Yaishe mkuu nna maskhara mengi sana.Nisikukamate ase
Uyo anazingua sio siku ya kwanza siku ya kwanza nilijua utani now naona anazidishaWeeeeeeenge ๐
PK (Punguza kujielezea)
Usimind mwanetu ila punguza jiko kidogo
Hapo kichwani unasema mtoto wa kiume kupika namna hii ni UMAMA๐ฅตHapana mkuu, mimi nimeuliza kwa nia njema tu...๐คฃ
NaelewaYaishe mkuu nna maskhara mengi sana.
Hilo halipingwi mwamba anajua kinoma kuna ke humu wanajifunza kwake.Ila mwamba anajua kupika mazee..๐คจ
Jaribu mkuu sio ngumuNyuzi zakutuliza akili hizi. Nitajaribu hii
Mida ya vitu kuwa kichwani hii, kwahyo cool man.Uyo anazingua sio siku ya kwanza siku ya kwanza nilijua utani now naona anazidisha
๐๐ au sio ngoja niitafute vaselineSafi sanaaaaa.
Yani we jamaa mwanamke hana cha kukuringia. Mchawi vaseline tu, unaishi happily ever after๐คฃ
Nilikua sijui mkuu....Wewe Haa Una Shari Sana Hapa Mkuu Vumbi Litatimka
Kesho mkate wa mchele tulia ๐Mida ya vitu kuwa kichwani hii, kwahyo cool man.
Kesho ratiba ni ndizi ๐
Dah ila we jamaa kiboko, unalipenda jiko sana jitahid ufungue mgahawaKesho mkate wa mchele tulia ๐
Usinichonganishe na mkali wa vita man....โน๏ธHapo kichwani unasema mtoto wa kiume kupika namna hii ni UMAMA๐ฅต
Msosi wowote unaotamani unapika mwenyewe, halkadhalika ukiwa na vaseline hata Beyonce ukimtamani ni swala la kumuwazia tu. Uombe nini tena kwa Mungu๐คฃ๐๐ au sio ngoja niitafute vaseline
No sipendi kupika kila siku kitu cha aina moja pia mda mwingi nakuwa free mazingira hayanip nafasi ya kutembea sina wadau so mda mwingi nakua ndani aloneDah ila we jamaa kiboko, unalipenda jiko sana jitahid ufungue mgahawa
Ahahhah mambo ya kufumba machonau sio ๐Msosi wowote unaotamani unapika mwenyewe, halkadhalika ukiwa na vaseline hata Beyonce ukimtamani ni swala la kumuwazia tu. Uombe nini tena kwa Mungu๐คฃ