Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Weeeeeeenge 😂Mkuu nakumbuka mara ya mwisho ulisema ngoja uniignore nikaona umefanya busara lakini ukufanya ivyo naona matusi kama haya sio vyema kutukana kwa mtu usie mjua kama uwezi basi jitahidi ata kidogo kuchunga kinywa kisitoe matusi
PK (Punguza kujielezea)
Usimind mwanetu ila punguza jiko kidogo