Bagia za dengu maziwa na mayai

Bagia za dengu maziwa na mayai

Sema mkuu tucheke kidogo

Kuna zao linaitwa dengu likishakauka ndio wanasaga unatokea unga pia kuna bagia za kunde pia
Mkuu, fanya kupika za kunde aise. Bibi yangu Iringa alikuwa anazipika sana ila shida alikuwa anazisaga na Jiwe, kwa upishi wa kisasa sijui zinapikwaje.
 
ephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa

Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha



Nikawa nawaza chakula jion nikaona bagia kivile ni nyepesi kupika basi nipike
Nikaandaa karoti na hoho
View attachment 3239436
Kisha nikachukua unga wa bagia nikaweks kwenye chombo
View attachment 3239441
Baada ya hapo nukaweka karoti na hoho na kuchanga vizuri
View attachment 3239445
Kisha weka maji kidogo kidogo uji wako hakikisha uji wako haui mzito sana wala mwepesi sana kama hivi
View attachment 3239449
Kisha weka kwenye mafuta tia kidogo kidogo mimi nilitumia kijiko wengine wanatumia mkono kuweka kwenye mafuta moto weka mdogo kabisa ziive pole pole
View attachment 3239453
Baada ya hapo nikachemsha maziwa na mayai sehemu mbilintofauti now nakula karibu
View attachment 3239455
Ulie omba mkate wa mchele kesho nitakupikia muda kesho ninao wakutosha kabisa ila Mama Mwana mkate wako unao utaka ule mgumu kidogo na ugumu unakuja pale jinsi ya kuuoka pia hakuna walaji hapa kwangu
Yummy
 
Back
Top Bottom