Bahari imechafuka

Ushapata cha asubuhi lakini?
 
Pale mzenji anapoacha urojo na kushobokea bange hik ndo kinacho mkuta
Kiasili mimi ni mtu wa kaskazini mwa Tanzania,tena kule milimani.

Sijawahi kuvuta bangi wala sitakuja kuvuta bangi kwa uwezo wa Mola mlezi,muweza wa yote.

Kuhusu urojo,nimekunywa/kula mara mbili tu na si zaidi katika maisha yangu,ni katika vyakula bora mno.

Bahari imechafuka.
 
Fungua code tukuelewe
 
Fungua code tukuelewe

Code yoyote hapo,ni kukosa umakini tu.

Kwa jinsi nilivyo nikisema niandike "code" hutaambulia chochote zaidi ya kujua mjengeko wa neno fulani umejengwa kwa herufi gani basi.

Itazame uzuri bahari na ilivyo vibeba,kisha ilinganishe na mchafuko,ila kaa ukijua bahari huwa inatema isivyo vitaka na kuvitoa nje.
 
wapo wanaoponda lakini mleta mada ana fasihi nzito sana, nahisi kuna ujumbe mkubwa sana hapa na pengine mwenzetu huyu ameshaona kitu kikubwa mbele yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…