Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mkuu unamaanisha nini kaka?Haiitwi Bahari bila maji,kutokana na Maji kila kitu kikawa hai. Naam nasema tena kikawa hai.
Tunaambiwa Baharini kuna jinsi ya viumbe vingi sana kwa idadi kushinda huku bara. Naam tena wengi hasa.
Kupitia Baharini, vyombo vikubwa huambaa na kubeba shehena ya mizigo mingi na mikubwa kuzidi njia nyingine yoyote. Huu ni ukweli usio na shaka.
Ila hakika hali wa shani hivi punde Bahari itaonya. Nasema tena Bahari itaonya.
Sasa Bahari imechafuka.
Sub woofer naye analichafua bunge. Ameweka vidosho vyake maarufu kama COVID-19 kinyume na katiba.Haiitwi Bahari bila maji,kutokana na Maji kila kitu kikawa hai. Naam nasema tena kikawa hai.
Tunaambiwa Baharini kuna jinsi ya viumbe vingi sana kwa idadi kushinda huku bara. Naam tena wengi hasa.
Kupitia Baharini, vyombo vikubwa huambaa na kubeba shehena ya mizigo mingi na mikubwa kuzidi njia nyingine yoyote. Huu ni ukweli usio na shaka.
Ila hakika hali wa shani hivi punde Bahari itaonya. Nasema tena Bahari itaonya.
Sasa Bahari imechafuka.
Kila sehemu kuna mazungumzo yake.
Nimekula cha halali katika kile alichoniruzuku Mola wangu mlezi.
Nimekula ugali,mlenda na uwono. Kisha nikashushia na MAJI.
Ana huruma sana ndiyo maana ameniruzuku ninacho kipenda.Mola wako hana huruma⦠kakuruzuku mlenda na uwono kweli?
Sawa Profesa Mabula MuchembeKila sehemu kuna mazungumzo yake.
Nimekula cha halali katika kile alichoniruzuku Mola wangu mlezi.
Nimekula ugali,mlenda na uwono. Kisha nikashushia na MAJI.
Hapo kwenye uono mate yamenitokaKila sehemu kuna mazungumzo yake.
Nimekula cha halali katika kile alichoniruzuku Mola wangu mlezi.
Nimekula ugali,mlenda na uwono. Kisha nikashushia na MAJI.
Ukiniwekea Uono pembeni naliza hata Ugali kilo mbili. Achana na hawa viumbe.
Na namshauri kama ni mara ya kwanza angevuta mixer..Siyo kila Bangi unayoiona unaivamia tu.
Kama kwako sasa.Kila sehemu kuna mazungumzo yake kijana.
Kukaa kwako kimya ni bora sana kwako,laiti ungelijua hili.
Kwangu mimi bangi ni HARAMU,sababu ina dhuru afya ya akili na mfano wake.
Naona baadhi ya watu wamekimbilia bangi, lakini kama bangi iko hivi basi hii ni bangi bora sana.wapo wanaoponda lakini mleta mada ana fasihi nzito sana, nahisi kuna ujumbe mkubwa sana hapa na pengine mwenzetu huyu ameshaona kitu kikubwa mbele yetu.
Haramu ni haramu kwa wote,sababu ina dhuru kihisia na kimaana.
Nani kasema haramu.Haramu ni haramu kwa wote,sababu ina dhuru kihisia na kimaana.
Umejuaje hili ?Nani kasema haramu.
Ingekuwa haramu huyo alioleta au kuiumba asingeleta duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
SchizophreniaHaiitwi Bahari bila maji,kutokana na Maji kila kitu kikawa hai. Naam nasema tena kikawa hai.
Tunaambiwa Baharini kuna jinsi ya viumbe vingi sana kwa idadi kushinda huku bara. Naam tena wengi hasa.
Kupitia Baharini, vyombo vikubwa huambaa na kubeba shehena ya mizigo mingi na mikubwa kuzidi njia nyingine yoyote. Huu ni ukweli usio na shaka.
Ila hakika hali wa shani hivi punde Bahari itaonya. Nasema tena Bahari itaonya.
Sasa Bahari imechafuka.
Hili neno geni kwangu. Lina maana gani ?Schizophrenia
KagongewaMkuu sema haraka kama sisi tusiokuelewa tuhame nchi kabisa.ππππ