Bahari imechafuka

Bahari imechafuka

Haiitwi Bahari bila maji,kutokana na Maji kila kitu kikawa hai. Naam nasema tena kikawa hai.

Tunaambiwa Baharini kuna jinsi ya viumbe vingi sana kwa idadi kushinda huku bara. Naam tena wengi hasa.

Kupitia Baharini, vyombo vikubwa huambaa na kubeba shehena ya mizigo mingi na mikubwa kuzidi njia nyingine yoyote. Huu ni ukweli usio na shaka.

Ila hakika hali wa shani hivi punde Bahari itaonya. Nasema tena Bahari itaonya.

Sasa Bahari imechafuka.
Mkuu unamaanisha nini kaka?
 
Sub woofer naye analichafua bunge. Ameweka vidosho vyake maarufu kama COVID-19 kinyume na katiba.
 
Kila sehemu kuna mazungumzo yake.

Nimekula cha halali katika kile alichoniruzuku Mola wangu mlezi.

Nimekula ugali,mlenda na uwono. Kisha nikashushia na MAJI.

Mola wako hana huruma… kakuruzuku mlenda na uwono kweli?
 
wapo wanaoponda lakini mleta mada ana fasihi nzito sana, nahisi kuna ujumbe mkubwa sana hapa na pengine mwenzetu huyu ameshaona kitu kikubwa mbele yetu.
Naona baadhi ya watu wamekimbilia bangi, lakini kama bangi iko hivi basi hii ni bangi bora sana.
 
Haiitwi Bahari bila maji,kutokana na Maji kila kitu kikawa hai. Naam nasema tena kikawa hai.

Tunaambiwa Baharini kuna jinsi ya viumbe vingi sana kwa idadi kushinda huku bara. Naam tena wengi hasa.

Kupitia Baharini, vyombo vikubwa huambaa na kubeba shehena ya mizigo mingi na mikubwa kuzidi njia nyingine yoyote. Huu ni ukweli usio na shaka.

Ila hakika hali wa shani hivi punde Bahari itaonya. Nasema tena Bahari itaonya.

Sasa Bahari imechafuka.
Schizophrenia
 
Back
Top Bottom