Bahari mpya kuligawa bara la Afrika, Tanzania kuwa sehemu ya Kisiwa

Mungu anaendelea kuboresha uumbaji wake kwa kutengeneza umbo alitakalo Duniani.... Kama ilivyo kwenye Nyumba zetu ujenzi hauishi kuna kuwa na maboresho ya mara kwa mara ili kupata kitu bora machoni pa Mmiliki wake
 
Zanzibar tutakua upande gani?
 
Itakuwa Mungu amechoshwa na ujinga wa waafrica acha atusongeze na Australia huko labda kipande chetu tutabadilika na kushine kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…