Bahari mpya kuligawa bara la Afrika, Tanzania kuwa sehemu ya Kisiwa

Mwanadamu aliyezaliwa juzi anazungumzia Nyufa iliyotokea miaka mil 30iliyopita? Tena Biblia unaonesha dunia ina miaka isiyozidi 7000 tu
 
Sisi tunaosoma Biblia na kuelewa NENO la MUNGU, tunasema that will never happen, haitakaa itokee.

Sababu ni kwamba, Biblia imetabiri matukio yote makubwa yatakayotokea duniani. Tukio la kugawanyika kwa bara la Africa ni tukio kubwa mno na halijatabiriwa kwenye Biblia.

Tukio kubwa lililotabiriwa ni tetemeko kubwa la ardhi litakaloikumba dunia yote kwa mara moja na kusababisha milima yote kudidimia na kufutika kabisa kwenye uso wa dunia. Pia, visiwa vyote vitatoweka sababu ya tetemeko hilo. Miji yote, majiji yote ya duniani yataanguka, majumba na maghorofa yote yatakaa chini.

Na baada ya tetemeko hilo kuu, ndipo KRISTO ataonekana akishuka kutoka mawinguni, akija na malaika wengi mno na sauti kuu ya parapanda itasikaka duniani kote.
 
Utanuzi wa Red Sea ama
Sasa naona tunagawanyika na Haya tribe na Wasomali wanakuja pande mbili pia
Ila sasa ZnZ itasogea mpaka Madagascar au itapotea maana mpasuko huo utameza wengi sana

Yajayo yanatisha ila ndio mambo ya Dunia na mabadiliko yanatokea kama hawakufanya yao kwa miaka zaidi ya Mia mmh we never know
 
Miaka mingapi ijayo hili laweza kutimia ?
 
Continental drifting na points zenu ...hata ukisoma utaambiwa miaka million kadhaa
Hayo n Mambo ya Plates Tectonics na Kwa Notes zao kuwa Movement ya Plate Inachukua Centimetres 20 per Year ili kutimia bhs Jambo ilo kutimia Litahitaji Miaka Mingi Zaidi kutokea maana maeneo yalioonyeshwa sio yote yapo kweny Subduction Zones?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…