Bahari mpya kuligawa bara la Afrika, Tanzania kuwa sehemu ya Kisiwa

Kwaiyo hapa hakuna haja ya kujenga reli kuelekea Congo?

Tujenge tu huwezi jua,labda ndio kamba pekee itakayoshikilia hicho kipande kisigawanyike kwa kasi na kupunguza maafa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1545][emoji1545].


Samahani mtoto alishika simu.sio mimi niliyeandika[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu anaendelea kuboresha uumbaji wake kwa kutengeneza umbo alitakalo Duniani.... Kama ilivyo kwenye Nyumba zetu ujenzi hauishi kuna kuwa na maboresho ya mara kwa mara ili kupata kitu bora machoni pa Mmiliki wake
Si mnasemaga kila alichokiumba aliona Ni chema na akapumzika! Kumbe nae Ni fundi Michael?
 
Inabidi uwe na upungufu wa akili kuamini porojo Kama hiyo
 
Mbona walikuwa wanasema litagawanyika horizontally na sio vertically kama hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…