Bahari mpya kuligawa bara la Afrika, Tanzania kuwa sehemu ya Kisiwa

Tunacheza na fursa ya jirani zetu kuwa land locked mbeleni zikifunguliwa tutajutia
 
Umenikumbusha lile tope la Kunduchi walilokuwa wanapima kwa mguu! Wale walikuwa wanajiolojia toka faya! Hata hivyo waliyeyuka na utafiti wao.
 
 
Itatokea baadae ya miaka billion mianane ijayo
 

baada ya miaka milion 1 kutakua na nchi inaitwa Tanzania
 

View: https://x.com/bbcswahili/status/1886429521336733744?t=dkKbGDOOAg7gTihvkY-9wA&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…