Baharia ogopa mabinti wanaojipodoa, wengi hawafai kwa ndoa

sijawahi kufikiria kudate na sijawahi kudate na mwanamke mvaa wigi,mikucha mirefu au mwenye kujipka cream hyo ndo principle yngu
Ila kwa kweli mawigi yanakera. Mengine ukiligusa tu unaweza washwa hata mwezi. Halafu yana mapepo ya hao wafu wenye nywele zao. Ni marufuku mwanamke mwenye wigi kuingia ghetoni kwangu au hata kunikumbatia. Kupeana mikosi tu ya wafu wa Brazil [emoji16][emoji16][emoji16][emoji51][emoji51]
 
Wewe unaishi kwenye nyumba yenye vioo na bado umerusha jiwe gizani, ooh; shauri yako poti. 😁😁
 
Ila kwa kweli mawigi yanakera. Mengine ukiligusa tu unaweza washwa hata mwezi. Halafu yana mapepo ya hao wafu wenye nywele zao. Ni marufuku mwanamke mwenye wigi kuingia ghetoni kwangu au hata kunikumbatia. Kupeana mikosi tu ya wafu wa Brazil [emoji16][emoji16][emoji16][emoji51][emoji51]
[emoji16][emoji16][emoji16] daah aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba ukimaanisha tusiojipodoa kiivyo Ni wife material eeh!! Basi hauko sahihi,
 
Baharia,ogopa mabinti wanaojipodoa sana au wale wanaotaka muda wote kuonekana smart au muda wote wanataka kuonekana mbele za watu. Wengi wao hawafai kwa ndoa, wengi wao ndio husababisha migogoro ndani ya ndoa kwa kutaka makuu, au kukulazimisha kutekeleza vitu ambavyo huwezi kufikia.

Umakini ni muhimu zaidi katika kupata mtu sahihi.

Je wale wanaoshughulika sana na nywele. Kila wiki wana mtindo mpya!

JE
[/QUOT
 
Ila kwa kweli mawigi yanakera. Mengine ukiligusa tu unaweza washwa hata mwezi. Halafu yana mapepo ya hao wafu wenye nywele zao. Ni marufuku mwanamke mwenye wigi kuingia ghetoni kwangu au hata kunikumbatia. Kupeana mikosi tu ya wafu wa Brazil [emoji16][emoji16][emoji16][emoji51][emoji51]
AF wanawake wakibrazil wana nywele hatari!
 
Back
Top Bottom