Chindy
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 343
- 696
Mmmh 😂😂😂kweli binadamu tunatofautiana maana mimi usmart ndio kila kitu.U-smart wa kupitiliza sio mzuri kwa afya ya ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh 😂😂😂kweli binadamu tunatofautiana maana mimi usmart ndio kila kitu.U-smart wa kupitiliza sio mzuri kwa afya ya ndoa
Naunga mkono hoja mkuu..umenena vyema sanaBaharia,ogopa mabinti wanaojipodoa sana au wale wanaotaka muda wote kuonekana smart au muda wote wanataka kuonekana mbele za watu. Wengi wao hawafai kwa ndoa, wengi wao ndio husababisha migogoro ndani ya ndoa kwa kutaka makuu, au kukulazimisha kutekeleza vitu ambavyo huwezi kufikia.
Umakini ni muhimu zaidi katika kupata mtu sahihi.
Ukiwa smart sana,ata kumtawaza mtoto utakuwa unaogopaMmmh 😂😂😂kweli binadamu tunatofautiana maana mimi usmart ndio kila kitu.
Wengi wao hutaka makuu na vitu vya anasaNa kwa nyongeza tu ni kwamba hawa wanaojipodoa sana na kuonekana smart,wengi wao kama sio wote K zao ni za hovyo sana ,I mean zinakuwa kama tambala au utumbo,sijui kwa vile zinatumika sana ili kupata hela ya poda na wigi!!!!
Wanaojipodoa sana,muda mwingi wamewekeza kwenye anasaKwamba ukimaanisha tusiojipodoa kiivyo Ni wife material eeh!! Basi hauko sahihi,
ha ha ha sawa mkuu endelea kuchunwa tuHaya mambo hayana formula! Acha kujidanganya!
Bora wewe mkuu umethibitisha kwa hiloshekhe unachosema ni chakweli kabisa,hawa wanaotembea na lipstick ni wa hovyo kabisa wala sio mke wa kuweka ndani.Mimi imenikuta hiyooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna sio kweli, kama unaweza kujitawaza mwenyewe sasa huwez kushindwa kwa mtoto wako mwenyewe.Ukiwa smart sana,ata kumtawaza mtoto utakuwa unaogopa
ha ha ha ha najua ukweli unaujuaHamna sio kweli, kama unaweza kujitawaza mwenyewe sasa huwez kushindwa kwa mtoto wako mwenyewe.
NB; watu smart huwa wanajisafisha In smart way sio kujivuruga vuruga hadi ukitoka maliwato unanuka mwili mzima 😂😂😂 vivyo hivyo wakiwasafisha watoto wao (wet wipes, maji, sabuni......)
Ukweli upi?ha ha ha ha najua ukweli unaujua
Najiburudisha tu poti. Mawigi siku hizi hayaepukiki [emoji16][emoji16]
Kweli mkuuHao ni kwa ajili ya kula nao maisha tu
Kuhusu wanaojipodoa vs ndoaUkweli upi?
😂😂😂ila kujipodoa na usmart ni vitu viwili tofauti. Kuna watu wanajipodoa lakini sio smart, na kuna watu wako very smart ila hawajipodoi kiviile yani ni smart lakini hawabandiki mikucha, mikope sijui mi makeup kilo mbili no.Kuhusu wanaojipodoa vs ndoa
Baharia,ogopa mabinti wanaojipodoa sana au wale wanaotaka muda wote kuonekana smart au muda wote wanataka kuonekana mbele za watu. Wengi wao hawafai kwa ndoa, wengi wao ndio husababisha migogoro ndani ya ndoa kwa kutaka makuu, au kukulazimisha kutekeleza vitu ambavyo huwezi kufikia.
Umakini ni muhimu zaidi katika kupata mtu sahihi.
ha ha ha ha ebu wafanyie utafiti kutoka mazingira wanayotoka pamoja na mahusiano waliyonayo😂😂😂ila kujipodoa na usmart ni vitu viwili tofauti. Kuna watu wanajipodoa lakini sio smart, na kuna watu wako very smart ila hawajipodoi kiviile yani ni smart lakini hawabandiki mikucha, mikope sijui mi makeup kilo mbili no.
Sasa sijui wewe unachanganya usmart na kujipodoa
Baharia,ogopa mabinti wanaojipodoa sana au wale wanaotaka muda wote kuonekana smart au muda wote wanataka kuonekana mbele za watu. Wengi wao hawafai kwa ndoa, wengi wao ndio husababisha migogoro ndani ya ndoa kwa kutaka makuu, au kukulazimisha kutekeleza vitu ambavyo huwezi kufikia.
Umakini ni muhimu zaidi katika kupata mtu sahihi.