Baharia ogopa mabinti wanaojipodoa, wengi hawafai kwa ndoa

Na kwa nyongeza tu ni kwamba hawa wanaojipodoa sana na kuonekana smart,wengi wao kama sio wote K zao ni za hovyo sana ,I mean zinakuwa kama tambala au utumbo,sijui kwa vile zinatumika sana ili kupata hela ya poda na wigi!!!!
 
Naunga mkono hoja mkuu..umenena vyema sana
 
Na kwa nyongeza tu ni kwamba hawa wanaojipodoa sana na kuonekana smart,wengi wao kama sio wote K zao ni za hovyo sana ,I mean zinakuwa kama tambala au utumbo,sijui kwa vile zinatumika sana ili kupata hela ya poda na wigi!!!!
Wengi wao hutaka makuu na vitu vya anasa
 
Ukiwa smart sana,ata kumtawaza mtoto utakuwa unaogopa
Hamna sio kweli, kama unaweza kujitawaza mwenyewe sasa huwez kushindwa kwa mtoto wako mwenyewe.

NB; watu smart huwa wanajisafisha In smart way sio kujivuruga vuruga hadi ukitoka maliwato unanuka mwili mzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vivyo hivyo wakiwasafisha watoto wao (wet wipes, maji, sabuni......)
 
ha ha ha ha najua ukweli unaujua
 
Kuhusu wanaojipodoa vs ndoa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila kujipodoa na usmart ni vitu viwili tofauti. Kuna watu wanajipodoa lakini sio smart, na kuna watu wako very smart ila hawajipodoi kiviile yani ni smart lakini hawabandiki mikucha, mikope sijui mi makeup kilo mbili no.

Sasa sijui wewe unachanganya usmart na kujipodoa
 
Naam. Kuna watu unakuta wamejipakaa rangi ya pink uso mzima. Wamekuwa kama Wazungu vile. Kila siku asubuhi wanahitaji masaa 3 mbele ya kioo. Kwa wiki wanahitaji masaa 21 (karibu siku nzima ya masaa 24)! Mtu akipiga hodi wakati hawana make-up hawafungui mlango. Mambo mengine hayana maana kabisa. Ni kujiadhibu tu.
 
ha ha ha ha ebu wafanyie utafiti kutoka mazingira wanayotoka pamoja na mahusiano waliyonayo
 
Kumbe ulikua aufaham
Awo watabaki kwenye kazi za uvideo Queen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…