LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Boost wth blue pillHuwa inatesa sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boost wth blue pillHuwa inatesa sana mkuu
Mshauri awe anaboost mara moja mojaumeongea point kubwa sana mkuu bt waliodhurika na kutotunza ndo watakuelewa, mi nimeshuhudia kwa ndugu yangu mwenye 40+ daily analalama hajiwezi tena ajil ya kua mla k sana huko nyuma na ugomvi na mkewe daily hauishi...
imefikia hatua mwanaume hana tena usemi kwa mkewe, mke ndo mwenye mamlaka yote ya familia na mwanaume anavumilia coz anajijua alivyo.
Nguvu asilia ni bora zaidiBoost wth blue pill
Kweli,ulaji wetu wakisasa ndio chanzo cha matatizoZingatia kula vyakula vya asili achana na machips sijui mapizza huko mara maburger ....
Zingitien vyakula sana.hata kama maisha yanchangia lkni chakula kiwe mkombozi kwa % fulani.
mkuu abust kwa kutumia niniMshauri awe anaboost mara moja moja
mkuu sijui kwa nini comment yako imekichanganya sana kichwa cha chini.Zingatia kula vyakula vya asili achana na machips sijui mapizza huko mara maburger ....
Zingitien vyakula sana.hata kama maisha yanchangia lkni chakula kiwe mkombozi kwa % fulani.
Ndo m’badilike sasa..Kweli,ulaji wetu wakisasa ndio chanzo cha matatizo
Naunga mkono 28+ ladies ndio wanawake wanaofanya Tendo na kulifurahiaaa kabisa kabisaa yaan anagongwa akijua kabisa huyu kaniridhishaaa kanifikishaaaa .
Sema nn... Kitu kinachotumika sanaaaaaa ndicho kinakua imara sanaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitunza mashine yako, haikupi guarantee yakuja kua mkazaji mzuri ...
Ulishwahi jiuliza kwann mwanaume akiwa hana demu kwahuo muda, anaweza tongoza mademu 20 lkn asipate hata mmoja??? Lkn muhuni mmoja yeye anawagonga daily nakuwabadilisha, lkn akitongoza ni fastaa keshakubaliwa????.
Achaneni na mademu wengi... Tumieni kondomu... bila ivo Mtaondoka mapema ungali kwenye 20---35yrs
Kitakuwa kimekunywa bangi mkuu..mkuu sijui kwa nini comment yako imekichanganya sana kichwa cha chini.
Kuna siku nilifanya majaribio,jioni nikapata supu ya kongoro,nikaagiza na matunda mchanganyiko ya elfu 3,nikanywa na maji mengi chupa 3. Asubuhi naingia kwa show, vikawa vinaungana tu hakuna kupumzika. Mpaka sasa hivi vyakula vya mafuta mengi nimeweka pembeniNdo m’badilike sasa..
Msisahau mazoezi kuweka mwili vizuri
Vumbi ya Congo ama mnaitaje vijana?mkuu abust kwa kutumia nini
mkuu bange situmii, huenda tatizo itakuwa imagination ilonijia after kusoma ur commentKitakuwa kimekunywa bangi mkuu..
Bangi ikikata kitakaa sawa
ha ha ha yapi tena mkuu?Pole sana kwa yaliyokukuta mkuu!
Usisahau pia tende,karanga mbichi maziwa mtindiKuna siku nilifanya majaribio,jioni nikapata supu ya kongoro,nikaagiza na matunda mchanganyiko ya elfu 3,nikanywa na maji mengi chupa 3. Asubuhi naingia kwa show, vikawa vinaungana tu hakuna kupumzika. Mpaka sasa hivi vyakula vya mafuta mengi nimeweka pembeni
mkuu mie sio kijana nitake radhiVumbi ya Congo ama mnaitaje vijana?
Kweli mkuu lishe ni muhimu na mazoezi piaNakukumbusha tu umri unapozidi na dozi inapungua,
Akifika 30+ wewe una 35+
Mazoezi na vyakula tu,,
Baba yetu Adam pale mtini alikuwa anakula matunda tu na Eva alielewa show miaka 900[emoji3],,
Ndio maana, vibinti chini ya 28 hapo, kanaweza kukuacha kimasihara hata kama ulikua unakagonga vipi, hata kama ulikua unakesha , kanakuachaaaaaaa peeeeeeee asubuhi kweupe .. unajua kwann???
- Hell no!, tuwaridhishe wapenzi wetu ukubwani!?, nani kasema hivo![emoji3525][emoji3525]