Baharia usijibu hizi text, Utanishukuru baadae

Baharia usijibu hizi text, Utanishukuru baadae

Sasa mbona mnachoma ramani ya vita??
 
Kwani ukimwambia Sina atakuua? Mbona mnakua waoga nyie wanaume. Sema sina/sikupi nna majukumu mengine yani usiahidi kitu nenda straight Sina
na yeye pia utamjengea tabia ya kuwa straight "Ooh babe ile tshirt yangu uliyofua uliweka wapi "Sijui" "babe njoo niko hapa" "siji"
mbona rahisi nyie ndio mnatindinganya mambo
 
Mimi nilipoona picha mengine sikujisumbua hata kusoma
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.

KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''

2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''

3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu.

Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''

Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie mada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.
"mwambie simu unakata chaji"
"Babe,,, Ntakucheki dk 0 network inazingua"
"Oya kuna simu ya dingi inaingia"

View attachment 1256415
 
Kwani ukimwambia Sina atakuua? Mbona mnakua waoga nyie wanaume. Sema sina/sikupi nna majukumu mengine yani usiahidi kitu nenda straight Sina
na yeye pia utamjengea tabia ya kuwa straight "Ooh babe ile tshirt yangu uliyofua uliweka wapi "Sijui" "babe njoo niko hapa" "siji"
mbona rahisi nyie ndio mnatindinganya mambo
Kumkatalia moja kwa moja sio poa bora kumzingua
 
Back
Top Bottom