Bahati Bukuku: Baada ya kutoka kimuziki wachumba walikuwa wengi akiwemo mfadhili (sponsor) wangu, nilionywa kuhusu wanaume wa Dar

Bahati Bukuku: Baada ya kutoka kimuziki wachumba walikuwa wengi akiwemo mfadhili (sponsor) wangu, nilionywa kuhusu wanaume wa Dar

Hatimaye sponsor kafanikiwa.Ngoja tuone walimalizaje mgogoro.
 
Kuna watu wanamwita mtoto wa mjini anakifurahia hicho cheo
Hajui anajichoresha inamlazimu kuongea uwongo kuwafurahisha watu

Uyo bwana ni mtu mstaarabu ila apunguze uwongo
Mtu mzima unaongea uwongo ni karaha
Mkuu huu mji unamengi tusiyo yajua
Kuwa kwake active kwenye haya mambo
Inawezekana ni kutokana na shughuli zake anazo fanya
Kumbuka pia wote humu tunatumia utambulisho bandia
What if yye ndio huyo sponsor
 
Wanyaki wote (wakike) huwa wanakuja Dar na bikira za then wakulugwa wanawahi seat kisha wanasepa baada ya kufanya yao, namkumbuka jirani yangu Atuganile alikuja mbichi kigori tokea Kyela hakumaliza hata mwaka akaanza kunyonyesha mtoto wa ustaadhi, ustaadhi haijulikani alipo hadi leo ila Atu kapaukaa na mindala mirefuu!

Mabinti wa kinyaki muache ujinga mkija Dar.
 
Back
Top Bottom